Search results

  1. magicianboy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa n muda sahihi wewe ukaanza leta code za ushindi mkuu nipo apa kukufuata
  2. magicianboy

    Binadamu wanaongezeka ila watu wanapungua🤔

    Karibuu mgeni vurugu zako zimefanikiwa kutukera
  3. magicianboy

    Baraza la Mawaziri: Rais anafanya kazi ya ziada, anaruka viunzi kabisa

    Wanyooshe tu mpinzani wangu,,ukawa bado akiln mwangu
  4. magicianboy

    Revenge kwa aliyekusaliti

    Mtengenezee ebola
  5. magicianboy

    Nimekutana naye kwa mganga wa kienyeji.Je anafaa kuwa mke?

    Anakufaa bro! Ukimzngua anakupga kipapai cha jero hivi
  6. magicianboy

    Picha: Napata dola 100+ kwa siku kupitia google adsense, nipo Mbeya

    tuoneane huruma jamani,mafisadi watuibie hata wewe bro? hi nchi si salama
  7. magicianboy

    Je, unajua kwa nini ajali nyingi zinatokea mwisho wa mwaka hasa Desemba?

    hivyo Mungu wetu akasema watu watakufa mwisho wa mwaka? Kwa maandiko gani duuhh
  8. magicianboy

    Halotel ni kiboko kwa internet speed

    hahahaha! Mkuu Sad eyes umenifurahsha sana doh! Download download??
  9. magicianboy

    Wafanyakazi wa kampuni ya Halotel wasitisha huduma

    Halotel katika huduma,wapo vizuri sana kuliko mitandao mingine nathubutu kusema hvo its a month now nawatumia na cjajuta..pia nawashukuru wamejichanganya dakika zng za promo had leo hazjaisha so natwanga free...tatzo naona lpo kwao kiutendaj na wafanyakaz wao mana gal wang n mwajiriwa n 2 b...
  10. magicianboy

    Wafanyakazi wa kampuni ya Halotel wasitisha huduma

    duh! Wewe kwel kboko 450 unaenjoy na watoto had ndugu? Mkuu upo Tz kwel? Wenzio wote wanalalama we unakenua? Tragedy
  11. magicianboy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu leo h fixture ilvokaa,nipatie ujuz natoboaje Uefa leo?
  12. magicianboy

    Wakuu hivi inatokana na nini hii, na nitegemee nini badae

    Nyota ya u-house girl bila shakaa,concluded
  13. magicianboy

    TB Joshua: Utabiri na nguvu ya Mwanadamu katika kuzuia kusudio la Mungu

    Mkuu kuna v2 viwili,cha kwanza ni God's promise ambapo hapa katika ahadi Mungu huweza ibadilisha au kuna vitu vinaweza badili ahadi ya Mungu tazama wana wa Israel na nchi ya ahadi walishndwa kufika kwa maovu yao,,pili kuna God's oath,hapa ktk kiapo cha Mungu simama kaa Mungu akiapa lazima iwe...
Back
Top Bottom