Search results

  1. W

    Swali: hivi ni kwa nini wanawake wengi kwenye ndoa wanaamini wao ndiyo wa mwisho kufa

    Kufa anaweza yeyote lakini kwa kawaida shida inakuaga akianza mwanaume ndugu wa mume wanaleta shida sana kunyang'anya mali so ni vizuri wote mume na mke kuweka mambo sawa sikuzote.
  2. W

    Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    tena akijakopa uso wote chini, dawa ni kukomaa tu I guess me mwenyew kukopesha basiii hela yangu lakin utafikir me ndo nataka kopa
  3. W

    Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    tena akijakopa uso wote china, dawa ni kukomaa tu I guess me mwenyew kukopesha basiii hela yangu lakin utafikir me ndo nataka kopa
  4. W

    Kumbe ashawahi kutoa mimba.,.na vile alivyo ni SIVYO alivyo

    Huyo ndo Perfect kama kaweza kujiweka wazi, wengine wanaficha hongera kwa kupata mke mwema
  5. W

    namuonea huruma wifi yangu

    poa poa ntafanya hivyo
  6. W

    namuonea huruma wifi yangu

    Nashukuru sana ntafanyia kazi ushauri. Afu kikubwa yanaweza nitokea hata mim
  7. W

    Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    pole dah uzuri wake siku nyingine akiwa na shida hawezi tena kuja kwako kwa aibu,
  8. W

    Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    mbaya zaidi jamaa anakumbia njoo saa kumi uchukue ukfika unaambiwa katoka mapema sana leo job!!
  9. W

    namuonea huruma wifi yangu

    nimezungumza nae mara nyingi yeye alalamika kua mkewe anapenda udiva since anakazi nzur anamzarau,
  10. W

    namuonea huruma wifi yangu

    thanks mwaya
  11. W

    namuonea huruma wifi yangu

    inanihusu coz anachukua had my friends ambao wanakuja hm kwa jina langu soo likitokea ntakua ndani yake
  12. W

    namuonea huruma wifi yangu

    mume hatafutwi wew!!! untaka nikajiuze tuliza vidole vyako kama u dont feel lyk saying anythng gud
  13. W

    namuonea huruma wifi yangu

    muda ukifika, afu mume hatafutwi. 2mezaliwa wawili tu napambana nijitegemee usihofu
  14. W

    namuonea huruma wifi yangu

    my dia ungeishi nae ungeelewa nin nasema, kunaushauri naweza ufanyia kazi thanks anyways
  15. W

    namuonea huruma wifi yangu

    kwa kifupi dunia ya asahivi imechafuka watu tunaficha uongo kwa uongo mwingine Kumtimizia kaka yangu haiwezekan labda kama kikwenu ruksa kwetu mwiko
  16. W

    namuonea huruma wifi yangu

    asante nafikir kwa the best pia, ila ukimsikia mwenyewe anasema hamna kama mumewe sikuzote yupo home mapema na hawezi zungusha nnje
  17. W

    namuonea huruma wifi yangu

    hahahahahaha!!! umebugi kidogo sina mume
  18. W

    namuonea huruma wifi yangu

    hayajawakuta nyie
  19. W

    Wataalamu wa kukopa bila kurefund

    Inakera pale mtu anapokuja na shida anakuomba hela with a promice ntakupa after three days afu anauchuna hasemi kitu after those days anakua anakupiga fix tu. Mbaya zaidi anakuzungusha mpaka unakata tamaa. kulipa deni kunakupunguzia aibu tukikopa tulipe
  20. W

    namuonea huruma wifi yangu

    kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi...
Back
Top Bottom