Search results

  1. M

    Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Beira Boy, Basi tushinikize Katiba ya nchi yetu na ya CCM vibadilishwe ili aendelee kuisaidia nchi hii. Hasa ukizingatia kuwa yeye, Rais wetu ni msikivu na zaidi ya yote ANAIPENDA SANA TANZANIA NA WATU WAKE.
  2. M

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    God is with US or USA or us?! Mungu akupe macho ya rohoni uuone ukweli wa TB Joshua na Emmanuel!
  3. M

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Sababu kubwa ni kwamba watu matapeli, na manabii, mitume na wachungaji wengi wa uongo wameziona fursa na kuzitumia kwa vile " watu wangu wanaangamia /wanaangamizwa kwa kukosa maarifa". Maarifa ya neno la Mungu kama lilivyo katika Biblia na hususan katika AGANO JIPYA ambalo ndilo letu sisi...
  4. M

    Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

    Nenda kawaulize matajiri wa USA na IRINGA ndiyo utajua kilimo kinalipa!
  5. M

    Unajua kama maneno haya yana kirefu chake? Pita apa uelimike kidogo

    CDM - Cash Deposit Machine au .................................. (political party?!)
  6. M

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Itafute tu You Tube, ukiandika tu T.B.Joshua zitakuja nyingi pamoja na hayo mahojiano.
  7. M

    Kisutu: Mahakama imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Mwesigwa, watakiwa kulipa laki 5 au kifungo cha mwaka1

    Yaaah nadhani kuna utani some where kwenye hizi Mahakama zetu. Serikali lazima itakata rufaa on this, vinginevyo sijui tunakwenda wapi kwenye haya mapambano dhidi ya rushwa na wizi wa mali/fedha za umma.
  8. M

    Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

    Manengelo na wenzako wengi humu JF inaonekana hamkiamini kilimo kabIsa kama kinaweza kuwatoa Watanzania na nchi kwa ujumla kwenye umaskini! Kwa nini hivi jamani? Juzi nilimsikia Profesa mmoja akisema aningia kwenye biashara ya kilimo, kikamilifu, totally. Sijui sisi Watanzania wa leo NANI...
  9. M

    Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

    Ni kweli kwani nyumba za kupangisha kwa watu wa kawaida zinahitaji mbwembwe sana. Vifaa vya ujenzi ni hivi vya kisasa vya kawaida ambavyo ukienda viwandani unapata kwa bei za jumla kabisa na hivyo kuokoa fedha badala ya kununua kwa walanguzi madukani. Na siku hizi za ushindani yote yanawezekana.
  10. M

    Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

    Umenipoteza kwa kiingilishi hiki! Can you put this mess in Kiswahili please!
  11. M

    Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

    He is for our other side of Muungano! Kule atafiti sana na upole wake.
  12. M

    Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

    Yes, kama una viwanja na ukitumia "force account" INAWEZEKANA KABISA hasa hasa kama uko Dar-es-Salaam!
  13. M

    Prof Issa Shivji: Kwanini tunasherehekea uhuru kwa vitisho vya majeshi badala ya matukio yaliyobeba ujumbe wa amani na umoja wetu?

    Hivi vya makomandoo kumi na ndege nne za kivita unaita VITISHO?! Yale ya Uchina au India au Saudi Arabia juzi utaita nini - VITA AU NINI?!
  14. M

    Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

    Hebu kwanza muulize Waziri Jaffo! Any way hii ni njia ya kutumia "nguvu kazi" iliyo karibu nawe, yaani tafuta mafundi wachache wazuri, wawe na vibarua wao wazuri na UFANYE SUPERVISION WEWE MWENYEWE hasa kwenye UNUNUZI WA VIFAA. Kwani hapo ndio tunapo umiziwa zaidi na mafundi. Nunua vifaa...
  15. M

    Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

    Sawa kwa 30mi/= unaweza kujenga nyumba moja au mbili hapa Dar kama una kiwanja/viwanja. Hilo utaweza ukitumia "force account", UNAIJUA? Na itategemea uko Dar ipi anyway.
  16. M

    Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

    Hapana. Ni mpole sana anaweza kuyumbishwa na mafisadi na kuturudisha "misri".
Back
Top Bottom