wakubwa shkamooni na mnisamehe, today I have finally confirmed. Hakuna mapenzi ya ukweli ya kukutana kwenye mitandao Tanzania, labda huko nchi za wenzetu ambao wanaweza kuwa wanatumia hii mitandao kuwanufaisha. Wewe kama hukumpenda ulimbanjua wa nini?
Jamani na hata tabia ya kugombana kwa sauti ya juu inakera mno, mtu mwingine anatoka nje anakutukania huko wakati wewe uko ndani ili tu majirani wasikie jamani..... yani inakera usiombe. Bora mgombane kichini chini ndani mkitoka nje mnajikausha na tabasamu za uongo uongo. inaleta heshima.
Du1! pole, neema zake mwenyezi mungu na hekima zake zikusaidie uishi kwa amani. Just curious, huo umalaya wanafanyaga na wanawake wenzao?? maisha yamebadilika kaka unaona wanawake mambo yao mengi sikuhizi yanafanana sana na wanaume kabisa kwa mfanao. 1. Wanavaa suruali kama wanaume 2. wanasoma...
Ni kweli wanaume wa kichaga wanajua sana kuhudumia MKE na sio kimada na wanajali sana familia kwa ujumla. Tatizo la hawa kaka zetu ni moja tu, hawako romantic na libeneke hawaliwezi vizuri yani utasikia "wewe mama manka fridge imejaa chakula, mafuta nimekujazia kwenye gari, pesa imejaa huko...
hahahah kwanza nicheke kupunguza stress, jamaa baada ya kujifunika nyasi alikuwaje? du!! uongo kazi kubwa!!! hata hivyo hayakuhusu waachie mambo yao, ila sikulaumu sana tatizo litakuwa jina lako.
Ni kweli, ukianza na kutaka kumjua mtu inapendeza zaidi. mdadisi, mtembelee, go out for dinner talk talk and there will come the "i love you" day, baada ya kumjua kiasi cha kukutosha kuamua, kwa kweli inaleta heshima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.