Hehe, I like my girls feisty. And you, miss, are really making my day. Looking forward to your pic, prefarably in a G-cut; do not dissapoint pse.Hapo kwenye blue panaonesha utakuwa wa pwani wewe, which is even better. Do not worry about the implied tax fraud, mbesa zote nitakumwagia.
2016 sio? living in the future huh? What an idiot. Soma offer niliyompa queer mwenzio hapo juu and get in line. Sija-receive her picture, get ready to send yours.
Bado sija-receive picha yako, mrembo. My offer stands. And, yeah, you obviously "care". You wouldn't be posting to this thread otherwise. Nataka huu uzi uwe benchmark kwa wapuuzi wote wanaopenda kuponda vitu without backing up their criticism. Sio unakuja hapa na kuanza kuropokaropoka tu only...
Read my response to your fellow nutcase above. If the picture she sends me isn't up to my standards I may consider you for the offer. Looking forward to receiving yours.
Mpendwa Bibi yutong,
Kutokana na juhudi ulizoonesha kwenye kuchangia katika uzi huu pamoja na malalamiko kadha wa kadha uliyotoa kuhusu ukubwa wa bei ya bidhaa, nimeamua kukupa punguzo la asilimia 99% na hivyo kukuuzia bidhaa hiyo kwa shilingi za kitanzania 69,000 taslimu. Ukiwa tayari...
Hehe. Kijana, tofautisha mwaka wa ku-import and model. Nimeandika Make/Model: Toyota Platz 2001 and NOT Toyota Platz 2008. Mwaka wa ku-import ndio 2008. Sio lazima kila thread uwe unachangia. Kama huelewi vitu kaa kimya.
Dang! kuna watu wana vichwa vigumu aisee. Nimeshakwambia hii gari ipo kwenye EXCELLENT condition. Haya mayowe unayopiga hapa ni ya rangi na scratches. You are NOT in a position to judge this car bila kuifanyia inspection.
Again: U DON'T KNOW ABOUT CARS. Ningechukua kimeo chochote mtaani...
Hehe, tatizo wabongo mmeshazoea scrapers ambazo zimenyooshwa na kupigwa rangi. Hiyo gari nauza as is. I see no point ya kwenda kuanza kuipaka rangi na kuipigilia wheel covers and all and then nitangaze bei ya 7.5M and above. Wewe kama unajua gari utaicheki na kujua kwamba ipo in an excellent...
Hello!
Make & Model: Toyota Platz 2001,
Imported: 2008
Engine:1000cc
Km: 70,000
Automatic, Power Windows, CD Player, Fuel Efficient, Comfy, and in Excellent Condition.
Contact :0715140247
.
Hello!
Make & Model: Toyota Platz 2001,
Imported: 2008
Engine:1000cc
Km: 70,000
Automatic, Power Windows, CD Player, Fuel Efficient, Comfy, and in Excellent Condition.
Contact :0715140247.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.