Search results

  1. M

    62 yrs old anataka kuongezewa muda kazini- NHIF

    Ameliongoza shirika zaidi ya miaka kumi hakuna mabadiliko yoyote zaidi ya ufisadi na unyanyasaji.
  2. M

    62 yrs old anataka kuongezewa muda kazini- NHIF

    Mkurugenzi wa NHIF kuongezewa muda wa kuliongoza shirika ikiwa ameshatimiza muda wa kustaafu. Hivi serikali yetu inatupeleka wapi.
  3. M

    Milioni 700 zatengwa kwa uhamisho wa wafanyakazi nhif

    Kiasi cha milioni 700 kimetengwa kwa ajili ya uhamisho wa wafanyakazi mwezi july ikiwa wanachama hatupati dawa tukienda hospitali. Mkurugenzi wao anahamisha wafanyakazi kila mwaka ili kuficha ufisadi unaotendeka. Kuna tetesi wafanyakazi wanakusanya data ili wamlipue kama mama nyoni.
  4. M

    Je ni haki ya mfanyakazi kupewa likizo bila malipo

    Wadau naomba kuuliza je ni haki ya mfanyakazi kupewa likizo bila malipo kwa muda wa miaka mitatu? Wadau mnaoijua sheria naomba msaada.
Back
Top Bottom