Kuna tetesi zinaongelewa Mitaani kwamba, wizara ya utumushi wa umma inasemekana kuwa kuna agizo toka kwa wakubwa la zuio la approval ya taarifa zozote za mtumishi wa umma wa ajira mpya, Watumishi Waliokuwa promoted na kwa Watumishi waliohama ofisi juu ya mabadiliko ya mishahara Yao na kuingizwa...
Kwa kituo vya Naliendele, hali ni shwari kabisa. Vituo vimefunguliwa kwa wakati na mpaka sasa watu wanaemdelea na zoezi. Foleni ni ndefu sana inaonyesha watu wamehamasika
Kuna mtu aliwahi kuniambia sijui kuna namna ya kubadilisha some version info then inakubali kufanyakazi, kwamba yeye alishawahi kukumbana na suala hilo akampelekea fundi na akairekebisha kwa muda mfupi sana. Sijamuelewa vizuri kwakuwa sio mtaalamu sana wa electronics softwares but aliniambia...
Poleni na heka heka za kuelekea october 25!
Nina simu yangu nimeliinunua toka nje (CHINA) aina ya Lenovo S860 inanisumbua sana kupata network ya 3G ingawa kwa huko China ilikuwa inapiga mzigo vizuri bila tatizo lolote. Ni double line moja 3G/2G na nyingine 2G only. Line nikiiweka kwenye slot ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.