Wanadai Sijaandikushwa kwenye Daftari la kupiga kura. Wakati kadi walinipa wenyewe wakati wa kuandikishwa. Yaelekea kuna watu taarifa zao wamepoteza. Ni Uzembe uliopitiliza
Nimeshaanya hivyo lakini system yao inasema Sijajiandikisha kwenye Daftari wakati kadi ninayo. Wazembe sana hao watu. Wanataka tuache kazi ili kuwafuatilia kwa uzembe wao.
Mi nilishajiandikisha. Kama wameacha jina langu ni Uzembe wao. Nitaenda na Kadi yangu siku ya kupiga kura halafu waniletee maneno ya ovyo ndio watajua timbwili langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.