Search results

  1. Borat69

    Kuhami nchi isiwe mateka wa wafanyabiashara, Suma JKT iimarishwe

    Hawa jamaa rates zao zikoje mkuu?
  2. Borat69

    Five reasons why Trump will win

    Hauna ujualo katika Siasa za Marekani. Utashangaa!!!
  3. Borat69

    Kaka wa Obama Atangaza kumpigia kura Donald Trump

    I wondered the same! Atapigaje kura wakati hana uraia wa Marekani. Otherwise kama kura yake ni automatic just because he's Obama's half brother and Hamas die hard fanatic.
  4. Borat69

    Dar es Salaam: Jiji lenye upungufu mkubwa wa Street lights

    Umeshahakiki cheti! ? Au unapayuka tu hapa.
  5. Borat69

    Dar es Salaam: Jiji lenye upungufu mkubwa wa Street lights

    Tusaidie kuokoa nauli na hela ya malazi naomba utuwekee picha.
  6. Borat69

    Dar es Salaam: Jiji lenye upungufu mkubwa wa Street lights

    Mnawekewa vibao vya alama za barabarani mnang'oa na kwenda kuuza chuma chakavu. Hizo taa za barabarani si mtaenda kufunga majumbani kwenu.
  7. Borat69

    Msaada jinsi ya kufungua account bank

    Nenda katika ofisi ya serikali za mitaa eneo unaloishi. Omba barua ya kukutambulisha benki ili uweze kufungua acount. Uwe na picha (Passport size) zenye zenye background nyeupe. Peleka barua kwenye tawi la bank lililo karibu na wewe. Uwe na kitambulisho (kupigia kura,Leseni au Passport).
  8. Borat69

    Wafuatao waliwahi kukutana uso kwa uso na busara na hasira za Mwalimu Nyerere!..

    Umewasahau Mwalimu Kazibure na Tuntemeke Sanga.
  9. Borat69

    Kuna viumbe hawakwepeki

    Na wa mbili havai moja.
  10. Borat69

    Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Huyo demu anaitwa nani!? Ufoo au Manka!?
  11. Borat69

    Sehemu ya pili: Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

    Sehemu ya tatu wanamegana. Kama huamini tupinge.
  12. Borat69

    Serikali yapiga marufuku kusambaza mafuta ya mashoga

    Chonde chonde mkuu. ...yasije kupigwa marufuku na haya bure.
  13. Borat69

    Huyu Jamaa Aliyesimama Kushoto Kwa Rais Magufuli Ni Mlinzi?Je Yuko Sahihi Kwa Akifanyacho?

    Hizi ni kauli za UCHOCHEZI na UVUNJAJI WA SHERIA. UKiitwa sasa hivi kutolea maelezo haya maandiko yako hapa kuhusu Usalama wa Rais utaweza kutoa Ushahidi pasipo na shaka!?
  14. Borat69

    Huyu Jamaa Aliyesimama Kushoto Kwa Rais Magufuli Ni Mlinzi?Je Yuko Sahihi Kwa Akifanyacho?

    Ukiona mtu ameingia kwenye security bubble ya Mh Rais ujue keshafanyiwa upembuzi yakinifu na watu wenye kazi zao. Usifikiri amesimama pale bahati mbaya.
  15. Borat69

    Bango la "Mwizi Mkenya!" Mlimani City ni Ubaguzi!, Udhalilishaji!, na Very Undiplomatic Gesture!.

    Kutoa taarifa kamili za Muhalifu inasaidia kuweka takwimu za kiusalama na taarifa muhimu za matukio. Kwa hiyo binafsi sijaona kosa hapo. Kuna watanzania wanakamatwa na dawa za kulevya au Uhalifu nchi za watu na hutajwa Utaifa wao. Mara kadhaa kuna majambazi yanakamatwa au kuuwawa na vyombo...
  16. Borat69

    Huyu Jamaa Aliyesimama Kushoto Kwa Rais Magufuli Ni Mlinzi?Je Yuko Sahihi Kwa Akifanyacho?

    Ni vyema ungetambua majukumu ya Aide - De - Camp ndio uwe na mantiki ya kukosoa utendaji wake. Kwa kukusaidia tu huyo bwana hahusiki na Usalama wa Mheshimiwa Rais.
Back
Top Bottom