Search results

  1. B

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Dakt Benson Bana afafanua zaidi kuwa adhabu ya vikao vitano walivyopewa wabunge Wa CHADEMA kutohudhuria vikao Vya bunge ni ndogo,eti walistahili miezi 3 Kikubwa ni kuwa huyu ni muhadhiri Wa chuo kikuu nchini NA mchambuzi Wa siasa mkubwa nchini. Bungeni yametokea mambo makubwa Peter serukamba...
  2. B

    Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

    Ndugu wanajamiiforum Kama Kweli W.L level yake ya sukari imefikia either 15mmol/l au 17mmol/l madhara yafuatayo yaweza mpata wakati wowote 1.DKA(diabetic ketoacidosis)ambapo anaweza pata madhara ya kupoteza faham atimaye kuharibu ubongo Na hata kifo within short time. 2.shindikizo la damu...
  3. B

    Ni dhahiri sasa CCM imelaaniwa na Mungu pamoja na wananchi

    Amani ni nzuri ila ni Eli umasikin wa Mali kuliko umaskini wa akili.,,CCM wanafikiri wa TZ ni wajinga,,malipo ya dhambi yetote uanzia hapahapa duniani,wa TZ tuwahukum hawa mafisadi 2015 na hiyo Ndo power tuliobaki nayo tu
  4. B

    Ni dhahiri sasa CCM imelaaniwa na Mungu pamoja na wananchi

    Ndugu zangu inasikitisha sana mwenyekiti wa CCM taifa anawambia wajumbe waondoke lkn wakijua lengo Lao ni USHINDI 2015, Imeniuma kwani watanzania sasa hawajuhi hatma ya maisha Yao mfumuko wa bei,maisha magumu sana hata hatujuhi hiyo 2015 Kama watu watafika Ni muhim m/kit kutatua Kero za...
  5. B

    Mauaji na demokrasia tz

    Eti niliona swali la kipima joto juzi ITV kwamba kuongezeka kwa mauaji katika mikutano ya vyama vya siasa ni kukua kwa demokrasia nchini??? Kweli jamani mtu anayetengeneza au kuhariri mada hizi ana uwezo wa kufikiria???ushauri wangu wachunguze mada zao kabla hazijaluka hewani
  6. B

    Dhamira ya Rais Kikwete

    Dah kikwete my president???? Ndo maisha bora hayo kwa kila mtanzania???? Unatusikitisha watanzania kweli mchagua nazi upata korona''''
  7. B

    Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

    Kaka ulitala nini wewe?? Hata ajali hii meli imenuliwa na akina dhaifu, wakati marekani wenyewe waligoma,,ye si anapenda kutuchikulia vitu feki na ndiyo yotef
  8. B

    Police walitaka kuzuia msafara wa wanafunzi madakitari MUHAS kwenda MOEVT

    NDUGU wana jf Leo mida ya saa tano asubuhi wanafunzi wa udaktari kutoka Muhimbili wa mwaka wa nne tulikuwa tunaenda wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kufuatilia pesa ya elective studies,Kwa sababu pesa iliyoletwa chuoni ilikuwa pungufu,na tulikwenda wizarani wiki iliyopita tukuambiwa turudi...
  9. B

    Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

    Sio uamuzi sahihi kufukuza madaktari,,tatizo hatuna vingozi makiin,,,kwani Ndo tatizo limekwisha????? Wagonjwa waataumia sana Kwa mtindo huu,mi nawashauri madaktari waachieni hospital yao watbu wenyewe mi serikali hii inanikra sana
  10. B

    UN has rejected Doctor's (MAT) Request

    We ni mjinga na huna akil sikushangai, unafikiri wewe una akil gani kumzidi daktari yoyote,,Ndo walewale uwezo mdogo kuongoza mkubwa??? Ujawaona waliokukwapulia mabilioni unadai dawa kweli wewe kichwa cha kuku akibebi mzigooo....bebaa boksi za dawa utinze kwako
  11. B

    Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

    Unfortunately he has arleady lost,,vision yake ni nzuri lakini yupo Katika side mbaya,,hana jipya
  12. B

    Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

    Hongera mwanamapinduzi Lissu !!! Hakika haki ya mtu haipotei I believe into u
  13. B

    Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

    Ni kweli Serikali ni dhaifu jamani duu!!!!we angalia alichojibu waziri mkuu Leo Mwenye kipindi cha maswali na majibu kuhusu mgomo wa madaktari 23/6/12..serikali hii ni dhaifu kupita kiasi ndugu zangu...ngoja tucheki hiyo mahakama ya Kazi wanayoitegemea magamba Mwenye mgomo ujao.
Back
Top Bottom