Search results

  1. S

    Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?

    kama ulimpata humu basi jiandae kulia sana, humu hakuna wanaume walio na mapenzi ya dhati.
  2. S

    Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

    huo ndio ukweli wenyewe, hawana cha kukwepa.
  3. S

    Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Bado mkuu,ila najipanga. Hv karibuni ntakuwa na safari ya dar,nikifika nitajitahidi nifike dukani kwako.
  4. S

    Sitaacha kutembea na wanafunzi wa Sekondari

    halafu na ww unajiita mwanaume, mwanaume wa kweli hahongi elfu 5 wala hatoi sababu za kipuuzi kwenye suala la uhongaji. Ungesema hv uwezo wangu wa kuhonga ni mdogo, sina uwezo wa kuwahimili wadada wanaojitambua ndio maana nakimbilia kwa watoto wa shule, maana kwa mdada anaejitambua hiyo elfu 5...
  5. S

    Mwanamke penda maisha yako kwanza

    khaaaa..........
  6. S

    Nataka kuanza maisha upya baada ya kukosea kuoa

    khaaa, hata wewe kumbe huenda tumetoka sehem moja. Shy sehem gani ndg yangu.
  7. S

    Kipi bora kwa mwanume kuota matiti au kuwa na kitambi?

    bora mwanaume awe na kitambi ntamvumilia,lkn matiti hapana kwakweli:(
  8. S

    Dada zangu kwa style hii... Kifo kipo karibu sana kwetu sote

    ni utoto unamsumbua , akikua ataacha. Pale atakapojikuta anahitaji kuolewa halafu hapati wa kumuoa kutokana na historia ya matendo yake na tabia zake ndipo atakapotamani dunia irudi nyuma ili arekebishe yote hayo. Dunia ni tambala mbovu.
  9. S

    Mwanaume hasifiwi kuwa na wanawake wengi

    yaan tena yanaboa kichizi, unakuta limtu limepanga foleni na wakati an lenyewe choka mbaya tu hata halina uwezo wa kuhudumia. Mwanaume anasifiwa namna anavyojali sio foleni ya wanawake, km ni foleni hata mbwa anayo. Badilikeni buana.
  10. S

    Nazeeka, naogopa!

    uzee mbaya kama hauna hela ila ujiwa na hela ni burudani tu. Hata watoto wakali utabeba bila shida.
  11. S

    Ni jinsia ipi hawana uvumilivu kwenye mahusiano?

    mi naona wanaume uvumilivu ni zero, angalau wanawake huwa tuna uvumilivu mkubwa. Hata siku ukisikia mwanamke anasema kachoka basi ujue kachoka kweli.
  12. S

    Binti yamemharibikia

    Duh....pole yake kwa kweli. Tatizo la utoto alijua zipo tu kila siku. Acha ale jeuri yake.
  13. S

    Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

    mmmh mi najua kila mtu na imani yake. Mkiaza kugusa masuala ya kiimani hapa mtaishia kugombana bure.
  14. S

    Vunja Bei: Brand New Samsung galaxy Tablet Note, New Edition,

    Hahahaha mimi ni Dada mkuu.
  15. S

    Wanawake sasa ndio wanatafuta wanaume wa kuwaoa tatizo nini

    Wanaume wanazidi kupungua maana nao pia wanajigeuza kuwa wanawake na wanaolewa km sisi. Ndio maana inaonekana wanaume ni wachache na wanawake ni wengi.
  16. S

    Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

    Gizani vya nini, raha ya mapenzi umuone mwenzio live.
  17. S

    Watu tunavyo react tunapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenz wetu

    wala haina haja ya kuanza kuuliza maana kila afanyacho mtu mzima ni sahihi. Ht ukisema km anampenda wala haitasaidia kitu.
  18. S

    Faida za mpenzi pombe kuliko mpenzi mwanamke

    wewe utakuwa na stress za yule mtoto wa waziri ndio maana post zako zote ziko against wanawake. Ila tambua Mungu alikuwa na makusudi yake kuumba wanawake na wanaume.
Back
Top Bottom