Search results

  1. B

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Bw Mwakalinga tumeona mchango wako kuhusiana na hii mada ila cha msingi ni kwamba tuongelee mambo ya maana hata wewe mwenyewe inaelekea hutoi mada yenye maana bali ni kupoteza uma kwenye mambo yasio na msingi . Wote tunajua kuhusiana na jengo kuwekwa rehani kwenye benki ya EXIM pamoja na kuuza...
  2. B

    Mhemiwa Zambi on Maghembe's neck

    Ina maana Anachokifanya Mh Zambi ni mtoto/kijana wa kazi katumwa dukani halafu anaomba rist ya manunuzi ili akaonyeshe baba/tajiri yake kuhalalisha alichopewa ? kama ndivyo basi hehehehehehehehehehehehehehehe !
  3. B

    Swali la Kizushi; Bangi ikikamatwa inachomwa, Cocaine Inakwenda wapi???

    Na Meno,Pembe za Ndovu vipi ziko wapi sijasikia zikichomwa Kama Kenya
  4. B

    Mhemiwa Zambi on Maghembe's neck

    FJM.Nafikiri Mkuu wa nchi na washauri wake wanajua wanalolifanya.Hata ingekuwa ni wewe una uwezo wa kufanya kazi na wakakuona ungepewa kazi kutokana na uwezo wako.Ila sijui kama niko sawa hapo yawzekana ni mmoja wao pia. Hapa inaonekana huyu Mwenyekiti Dr Hawa Sinare alipoingia kwenye hii bodi...
  5. B

    Mhemiwa Zambi on Maghembe's neck

    Makah kwa haraka haraka ningependa kukushauri ufuatilie historia ndipo utoe maoni badala ya kushabikia kitu usichokijua au pia yawezekana unakijua.Kama ulisoma makala aliyoiandika Bw King cobra kama sijakosea kwenye jukwaa la habari mchanganyiko ameelezea vizuri tu swala hili la Cherry kule...
  6. B

    Mbunge Zambi ashitakiwa mahakamani

    Haya sasa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa kwa namna moja au nyingine kaamua kumwanika Mwenyekiti wa Bodi hiyo kwenye gazeti la leo 20/6/2012 la Mwana Halisi uk wa 16 je sheria hapa inasemaje kwamba mwenyekiti ambaye ni mteuliwa wa Rais hana mamlaka ya kuitisha kikao cha dharura cha bodi? Je ni...
  7. B

    Mbunge Zambi ashitakiwa mahakamani

    Kumbe ni kweli Huyu Mbunge kashitakiwa kweli na ipo kwenye gazeti la leo uk wa 2
  8. B

    Mbunge Zambi ashitakiwa mahakamani

    Kwa nijuavyo mimi kuhusu hii biashara ya kahawa kwa kweli ni kamari na wengi wetu hapa hatujui kinachoendelea kwenye biashara hii. Biashara hii ni biashara ambayo haitakiwi kabisa kuingizwa Siasa ndani yake kimsingi lakini wengi wetu hatujui,badala yake inageuzwa ni Siasa. Biashara ya kahawa...
  9. B

    Mbunge Zambi ashitakiwa mahakamani

    Kwanijuavyo mimi kuhusu hii biashara ya kahawa kwa kweli ni kamari na wengi wetuhapa hatujui kinachoendelea kwenye biashara hii. Biashara hii ni biasharaambayo haitakiwi kabisa kuingizwa Siasa ndani yake klakini wengi wetu hatujui,badalayake inageuzwa ni Siasa. Biashara ya kahawa inaongozwa na...
  10. B

    Mbunge Zambi ashitakiwa mahakamani

    naomba kusema kuwa naenda kutafuta data halisia ila haya yote yanasababishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Bw Adolph Kumburu akiwasaidia wazungu kummaliza mkulima waziri wa kilimo chukua hatua haraka
Back
Top Bottom