Legacy haiandikwi. Hujiandika!
Binafsi nilimtoa kasoro JPM kwa kutomchagua hata mtoto mmoja wa Nyerere kwenye Ubunge au hata kumpa ubunge wa kuteuliwa mtoto wa Nyerere na uwezo alikuwa nao japo alijidai kufuata nyendo za baba wa Taifa.
Mama kathubutu na Wala hajidai ufuasi.
Chuki mara zote hupofusha akili. Msomi akaonekana mjinga.
Mtu mwenye hekima hujipa muda wa kutafakari, akayaona mawazo ya mwenzio na kujenga hoja madhubuti. Kisha kabla ya ku-post akarejea alichokiandika akajiridhisha na kutuma.
If you see an iceberg you only see 10% forgetting 90% below the surface of the ocean.
i have known the late for the past 15yrs. only few have been said.
NB: Kukosekana kwa ufasaha katika maneno yako kunakupunguzia credibility ya kuona mambo (vision) katikati ya mistari.Poole sana!
If you see an iceberg you only see 10% forgetting 90% below the surface of the ocean.
i have known the late for the past 15yrs. only few have been said,
Sikujua Kama Ali alikuwa Engineer. Leo ndio nimefahamu hilo.
Niseme tu machache: HE DECIDED TO RUN IN THE COOLEST kama alivyomshauri CAG.
Mwezi April aliniomba nimsaidie kutafuta Diesel Generator ya KVA 6 kwa ajili ya mradi wake mpya Kigamboni.
Nikamshauri generator nzuri kama muhandisi na...
Hivi Chama Cha ACT Wazalendo kimeshatoka kifungoni?? Sijasikia Kauli ya msajili wa vyama.
hivyo sijiandikishi kwa kweli. Bora CC iendelee kuongoza nchi. Sijakosea namaanisha CC.
Shida yetu huwa tunachangia bila kusoma maandiko:
Hebu turejee kwenye maandiko kitabu Cha Esta sura ya 4 mstari wa 16:
16 “Uende, ukusanye Wayahudi wote wenye kuwa Shushani* na mufunge+ kwa ajili yangu. Musikule wala kunywa kwa siku tatu (3),+ usiku na mchana.
Kulingana na wayahudi siku...
The fact ni kwamba Biblia tunayojengea hoja ni hii hii ambayo kwa Karne takriban 18 hakuna mwananchi wa kawaida aliruhusiwa kuishika na aidha kuihoji. Ni Maaskofu, mapadri na wachungaji tuu walioruhusiwa kuishika na kuihubiri.
Sasa kwa kipindi chote hicho hatujui ni machapisho mangapi yamewekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.