Search results

  1. Sikonge

    Waziri Mkuu: Dodoma kufumuka msongamano wa magari

    Wana JF, Nikiwa nimesomea Uhandisi ujenzi wa barabara ingawa sipo kwenye ujenzi tena, nimelipokea kwa furaha sana tangazo la serikali kuwa hatimaye wanahamishia DODOMA Makao Makuu ya taifa la Tanzania ambayo ni zaidi ya miaka 40 tangu tutangaze kuhamishia huko. Naiomba tu Serikali yetu ya...
  2. Sikonge

    Kenya wanakula Kuku na yai lake

    Dahh, Wakenya ni hatari sana. Yaani Mbaba ameamua kuvulia kwenye tenga. Na mbaya zaidi huyo Samaki ni Mtoto wake. Inatia Kinyaa pale Samaki anapoanza kusema "I Love my Father so much...." Ila huyu Samaki nisingelitaka kukutana naye maana anabamiza kama Zena kwenye gazeti la Sani. Kama huamini...
  3. Sikonge

    NASACO irudishwe Tanzania

    Nina rafiki yangu ambaye amekuwa akilalamika kwa miaka mingi kuuliwa kwa Wakala wa meli Tanzania yaani National Shipping Agency Company au NASACO. Ukimsikiliza Mkinga kwenye hizi Video, unakubaliana kabisa kuwa Mkapa na wenzake waliiuwa NASACO ili waanze kuiba pale vizuri. Wizi huu unaofanyika...
  4. Sikonge

    Mikutano ya CCM na Wachina

    Nafikiri wengi mnakumbuka hizi picha....... Mengine semeni wenyewe.
  5. Sikonge

    Jukwaa la kufungia ndoa tayari....

  6. Sikonge

    CHADEMA lazima Imshtaki Nape

    Matusi na khashfa alizorusha Iringa leo, lazima Wana Sheria wa Chadema wampeleke Mahakamani. Maadamu hizi kashfa zimetolewa kwenye Jimbo la Msigwa, basi huu ni ushahidi wa kwanza kabisa mahakamani mwezi wa 11 kama Msigwa atashindwa. Msigwa hii video lazima uirekodi na wewe na kuiandaa kwenda...
  7. Sikonge

    Dr Slaa na Zitto ni Double or Sleeper Agent?

    Nina uhakika kuna wengi wetu wameshaangalia sinema au kusoma vitabu vya kijajusi ambavyo Wapelelezi wa aina mbalimbali waliweza kupelekwa sehemu na kutulia kwa miaka mingi huku wakifanya kazi zao (Double Agent) au kutokufanya kitu chochote cha Kipelelezi na wakawa wanasubiri amri itoke ili...
  8. Sikonge

    CCM Inakalia Wanafunzi.

  9. Sikonge

    UKAWA o muerte, Cuban Motto

    Nchi nyingi za Kilatino wamekuwa na aina nyingi za Slogan au Motto ambazo huzitumia ili kuwahamasisha Makamanda wao popote inapotokea wanapigania haki zao. Wa-Cuba na wengine kadhaa wana msemo wao walioutumia miaka hizo wanapigania uhuru "Patria o Muerte, Venceremos" ambayo maana yake ni...
  10. Sikonge

    CHADEMA, tumieni hii Alama ya Uchaguzi mkuu Oktoba

    Hii ilioneana huko Mwanza. Napendekeza itengenezwe vizuri na iwe ni SYMBOL ya Chadema kwa uchaguzi huu 2015. Ni mawazo yangu tu lakini.
  11. Sikonge

    CCM ahhhh Panya wa NIGERIA.

    Huu Ukoo Wa Panya aka CCM kumbe wapo wengi, hadi NIGERIA wametia nanga...
  12. Sikonge

    Kweli binadamu ni Mnyama

  13. Sikonge

    Mgeruman na Mfaransa wanacheza mpira....

    Mhhhh, hii dunia tunachanganyika si kawaida..... French captain Wendie Renard holds off the challenge of Germany's Celia Sasic as the favourites struggled
  14. Sikonge

    ZITTO akicheza huko Dubai

    Kuna mtu aliahidi kuwa ataifanya KIGOMA kuwa DUBAI. Jana Zitto alionekana DUBAI akicheza jukwaani.....
  15. Sikonge

    Mwalimu Nyerere na Uchaguzi wa mwaka 2015

    Tumemsikia Makongoro akisema CCM imejaa Vibaka. Baba yake tunamleta tena akisema uchaguzi wa Mwaka huu ni wa FEDHA. Maneno yake bado yako HAI.
  16. Sikonge

    Anatangaza nia kwa kupitia CCM

    Mwenzenu atatangaza hivi karibuni, wengine je? Msichelewe maana MAJUTO ni Mjukuu.....
  17. Sikonge

    Stand By Me, RIP Ben King.

    R&B and soul singer Ben E King, best known for the classic song Stand By Me, has died at the age of 76. King started his career in the late 1950s with The Drifters, singing hits including There Goes My Baby and Save The Last Dance For Me. After going solo, he hit the US top five with Stand By Me...
  18. Sikonge

    Kazi za Wakuu wa Mikoa.

    Mhandisi huyu alijitahidi.
  19. Sikonge

    Dodoma kwenda kushinikiza

    Fuata nyuki ung'atwe.
  20. Sikonge

    Panya Road wanipa Toto la Kigogo

    Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni na macho yamemtoka pima kwa woga Mtoto wa Mwanaume mwenzangu. Nilifungua na Zigo mbio ndani hadi...
Back
Top Bottom