reading between the lines: Kupigia kelele ufisadi ni kujifanya kimbele mbele, ndivyo wanavyosema viongozi wengi
sitaki kuamini kama mkuu FMES alitaka kumaanisha hivi
Sikonge na Ngonalugali - wazee wa Complex, mmnenikumbusha mbali sana. BTW wale watoto wenu mlowaacha pale kijijini Kikuyu sasa ni wakubwa, mnapeleka matumizi wakulu??
Koba,
It looks OK for me to use any excuse for now hata kama ni kisingizio cha kijinga rather than tuingie kichwa kichwa huku tukijua wazi we will loose big time. Wenzetu wanakasirika sana kama unavyoona hapo juu, when common labor market and Land issues are delayed, why?
Lazima tujiandae...
We can't be sure for now, mpaka tuone kama sungura atabaki kwenye kofia baada ya mazingaombwe as MMKJ puts it.
However, it is really doubtful whether JK is doing this for a genuine love for his country or for the sake of getting back part of his lost popularity
Dark City,
Whatever direction this discussion takes, the story is very inspiring and worth sharing. Tujifunze kuishi hivyo, kama watoto wa Mungu.
Thanks.
Something is happening at least in East Africa, which is difficult to explain since nothing much has happened in the economies to cause this. Just like in TZ, in Kenya, exchange rate imeporomoka from 62/= mpaka 80/= in a few weeks. in Uganda from 1653/= (end of Sept) mpaka 2100/= yesterday...
Kevo's response is correct 100%, NO doubt.
Those who do not believe it should do their research else where to be convinced. The company (registered, hence legally) is still Celtel, ownership has not changed, NO tax holidays, nothing...
Wale tusiopenda jina Zain tunao uhuru wa kujisikia...
Gamba la Nyoka, umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo hakukuwa na stress za maisha kama ilivyo sasa, maisha yalikuwa magumu but watu walikuwa relaxed. I wish I could rejuvinate myself and start all over again in the same old settings!!!
Wamiliki wa Mtibwa ndio wale wanaomiliki pia Kagera Sugar na ndio wale waliochukua mkopo mkubwa about $60m from commercial banks kwa guarantee ya serikali (case kama ya mkopo wa Mzindakaya na kiwanda chake cha nyama). sinahakika kama mikopo hii imelipwa na BOT na hivyo kuhamishia madeni hayo...
Kuhani,
Chai haikuwa central issue kwnye point yangu hapo juu. The fact is hawa watu wanalipa kodi. Note that sio makampuni yote yanahudumiwa na Larget Taxpayers Department, ni lazima u-qualify kuwa large taxpayer, na moja ya criteria ni kiasi cha kodi unacholipa. kama kuna aina fulani ya...
Waandishi wengine bwana, kichefuchefu tu. Huyu alishindwa kuelewa kilichozungumzwa akakurupuka na heading tu bila kujua aandike nini kuhusu hiyo heading.
Makampuni yote yaliyotajwa yanahudumiwa la Large Taxpayers Departrment ya TRA, maofisa wake wakienda pale TRA wanapokelewa kwa chai, soda...
Kimsingi sioni shida kwa mzee Mkapa ku-own shamba, na kama katiba au maadili ya uongozi yanamzuia kufanya hivyo nadhani hizo instruments ndio zenye matatizo na zinapaswa kurekebisha.
Kinachoudhi ni kwamba umiliki unafanywa siri na kumekuwa na upendeleo kwa sababu ya influence ya madaraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.