Search results

  1. M

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Tunatofautiana kipato,tunatofautiana mawazo na tofauti yetu itaonekana baada ya miaka kumi,kupanga ni kuchagua ila pesa haitakiwi kuzikwa inatakiwa kuzunguka
  2. M

    Soko la bata maji (Muscovy Duck)

    kaka mi nina maswali kwako(1)soko gani kwa dar na weza kuuza kirahis bata 20 kwa bei ya tsh 15elf,(2)juzi vifaranga vyangu25 vimekufa,je njia ipi yaweza nifanya nipunguze vifo
  3. M

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    kunawatu wanajadili kwa kutumia akili maswala ya vyama lakini yakija maswala ya uislam wanajitia utahira ra kuzidiwa n chuki,moyoni kwenu kuna ugonjwa na mungu atawaongezea magonjwa
  4. M

    walimu wenzangu hivi bado mnaona kunaumuhimu wa lesson plan?

    Inategemea mshahara na idadi ya madarasa unayo fundisha.kama mshahara mzuri na madarasa machache kunaumuhimu mkubwa sana wa lesson plan.kama mshahara wa kichina ufundishaji wa kichina ili kutengeneza wachina weeeengiii
  5. M

    post za ualimu za januari zitakuwa kwenye mtandao lini?

    wakuu kuna tetesi kuwa zile post za ualimu tayari zipokwenye computer za wizara kuonesha jina la mtu na mkoa atakao kwenda je ni kweli?na zile tetesio kuwa mikoa ya ajira ni saba tu zinauhakika?
  6. M

    Mshkaji wa Ghetto akaharibu mbaya…!

    Hadith kama hizi ni nzuri zinajenga jamii,zina tufanya tufikirie vitu vingine sio kila siku siasa tu
  7. M

    nampenda lakini anajifanya hajali

    Chama cha wanaume watongozaji tanzania (ccwwt)kina tangaza maandamano yatakayo fanyika kuanzia kidongo chekundu hadi mahakama kuu,siku ya kesho kushinikiza serikali iweke adhabu kali kwa wanawake wanao zungusha wanaume na kuwawekea pozi mar wnaapo tongozwa,tangazo limetolewa na...
  8. M

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Wanaume wenzako hatusamei hiyo dhambi,akishamegwa hata ukiendelea nae unamfanya kicheche wa kuzugia huku unatafuta mwingine,baab hiyo dhambi huwa haisamehewi. ukiisamehe unajidanganya tu,atarudia tena,wenzio tuliombwa msamaha mwaka na miez tisa lakini hatukusamehe,hiyo ndio dhambi ya kutolea...
  9. M

    Matiti ni Mali ya nani?

    Misijui????ila huwa ananiambiaga Baba Yu,mbakishie mtoto chakula chake
  10. M

    Mgomo wa walimu

    Hiv watatuchezea mpaka lini,yan sikuhiz ukienda kuoa ukijitambulisha wewe mwalimu wakwe wanatema mate,hadi inaonekana sisi ndo tulio feli,wakat kada nyingine wanaenda hadi kwa divishen 4 ya thelathini,
  11. M

    Kwa hii tabia ya wanawake ku pretend b4 marriagge tufanyaje?

    Kisosholojia kipindi cha uchumba kinatakiwa kiwe kirefu hata zaidi ya mwaka bila ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi,hii itasaidia kujua tabia halisi za mtu,pia kwakua utakua huja duu nae itakuwarahisishia kuachananae ukiwa na tabia mbaya kwa sasabu hutakuwa na upofu unaotokana na ku duu,tatizo...
Back
Top Bottom