Search results

  1. Litty

    Naomba msicheke tafadhali: Mambo ya KITAAA.....!!!!

    Nimecheka sana ya huyo aliyejigunga saa mguuni na huyo Michael Jackson wa mwisho! Lol!
  2. Litty

    Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Kama ambavyo wewe unapata ujira kwa kumjadili Dr. Slaa kila kukicha? Badala ya kujadili mambo ya maana mmebakia kushabikia magamba!
  3. Litty

    Wassira apigilia msumari wa moto kauli ya Pinda, asema hakuna sheria iliyovunjwa.

    Huyo Wasira nae sio tu anafanana na nanihii kisura hata kiakili pia wanafanana!
  4. Litty

    Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Wewe na huyo askofu wako mnahoma ya akili! Aliyewaambia Mungu yupo Israel peke yake nani? Magamba yanawawasha!
  5. Litty

    Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Ha ha aha ahaaaaaa! Magamba mnahangaika sana na maisha ya Slaa! Hamlali mawazo yenu yote yapo CHADEMA! Poleni!
  6. Litty

    Zijue Kazi Za Ajabu Duniani...

    Hata kama hazibui vyoo?
  7. Litty

    KURUGENZI YA IKULU-Iron lady alizaliwa 1987

    Wewe ndio huna hoja! Kosa liko wazi bado unatetea. Wakati mwingine mfiche mahaba yenu kwa vyama!
  8. Litty

    KURUGENZI YA IKULU-Iron lady alizaliwa 1987

    Hivi wewe nyinyiem NA SERIKALI YAKE wanakulipa shiling ngapi? Huwa unawatetea mpaka unatia aibu!
  9. Litty

    KURUGENZI YA IKULU-Iron lady alizaliwa 1987

    Yatasoma saa ngapi wakati yako busy na video ya Lwakatare!
  10. Litty

    makahaba wastaafu!

    Yaani hao wamethibitisha kwa vitendo msemo wa ng'ombe hazeeki maini. Sijui watoto wao wanajisikiaje wakisoma kuhusu maisha ya mama zao.
  11. Litty

    CHINUA ACHEBE: Ujana mtamu!

    Usipopenda kuzeeka inabidi upende kufa!
  12. Litty

    Mavazi ya dada zetu kwenye nyumba za ibada

    Ungekuwa karibu ningekupa glass ya ....... ungechagua utakacho. Tatizo letu binadamu tunapenda sana kuhukumu tena tunahukumu kirahisi rahisi tu kwa kuangalia muonekano wa nje. Kuvaa majoho na kujifunika ghubi ghubi hakuna maana kuwa mvaa hivyo ni mwema sana au anamheshimu sana Mungu. Tunasahau...
  13. Litty

    kamata mkoko kwa 10 milion

    Its on a second page?!!! Its just like a crowd pulling thread! Mlachake usinikodolee macho jamani, I'm just wondering!
  14. Litty

    Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Kitaje hicho chanzo cha kuaminika!
  15. Litty

    What is your PHOBIA?

    I'm fuliaphobic as well as claustrophobic. I also fear snakes and heights!
  16. Litty

    Natural Beauty - Ningekuwa Pedeshee ningehonga CHOPA

    mzuri jamani acheni kuponda bila sababu
  17. Litty

    Mapenzi ni nini hasa?

    Mapenzi hayaelezeki yaani maelezo yake yanatofautiana kati ya mtu na mtu kutokana na experience yake kwayo. Nikijibu haraka harak naweza kusema mapenzi ni mateso ya moyo.
  18. Litty

    Tarime: Mahusiano na mapenzi - Usioyajua.......

    Kongosho semaaa, sema usiogope sema, Sisi jamiiii hatuogopi vibaraka, semaaa...... Bishanga umenikumbusha mbali!
  19. Litty

    Picha ya leo - Waliopitia JKT enzi hizo itawakumbusha makubwa

    Wewe ni yupi hapo? Ninong'oneze simwambii mtu.
Back
Top Bottom