Search results

  1. N

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Tatizo lenu jingine! mmejisahau kabisa kuwa Waislamu nao ni Watanzania! hili ndio tatizo kubwa,ss wote ni watanzania kwanini tuanze kuulizana dini! dini ni imani binafsi tuache institution zinazohusu dini zifanye mambo ya dini na serikali ifanye mambo kwa maslahi ya watanzania wote. Hakuna mzizi...
  2. N

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Watanzania hawawezihesabiwa kwa kutumia Dini,Hattuwezi kuruhusu kuhesabiwa kama makundi tofauti malengo ya sensa hayahitaji kufahamu uwingi wa makundi hayo bali uwingi wa watanzania kwa ajili ya maendeleo. Tulitawaliwa zamani lakini sasa tuko huru na tufanye maamuzi kama taifa huru blila...
  3. N

    Am I beggining to loose my integrity?

    uyo dada ana ugonjwa wa kuataka kuolewa na ktk records zake anajua ww tiba upo tuuu..akishapona huo ugonjwa ww ndo utaanza kuumwa ugonjwa wa kuachwa kwa mara nyingine tena!
  4. N

    Am I beggining to loose my integrity?

    uyo dada ana ugonjwa wa kuataka kuolewa na ktk records zake anajua ww tiba upo tuuu..akishapona huo ugonjwa ww ndo utaanza kuumwa ugonjwa wa kuachwa kwa mara nyingine tena!
  5. N

    Nimempa ujauzito binti nisiyempenda....nifanye nini?

    miaka 5 mwanamke hujampenda ulikuwa unasubiri nn kama c mtoto??? huyo ndo mke wako hujataka kutambua mapema tu....u entered relationship aiming not to luv try the othr side for a change
Back
Top Bottom