Search results

  1. Shapu

    Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

    unajua majukumu ya TBS wewe?
  2. Shapu

    Mateka aisifu Hamas

    Her husband is still being held captive, of course she won't say anything bad about Hamas!! Same for the Americans released who still have family members being held.
  3. Shapu

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Nimecheka saaana. Wee jamaa umetafakari sana haya mambo kwa kina. The way ulivyoandika sasa.....
  4. Shapu

    Mpaka sasa Bashe ndiyo kijana mzalendo wa ukweli atakayeleta mapinduzi ya kilimo na uchumi

    Hivi kwa nini kilimo kisiwe somo la lazima toka std one mpk university? kama kweli ndio uti wa mgongo wa nchi?
  5. Shapu

    Waziri Bashe aache kuingilia majukumu ya wizara nyingine

    "Pia nyakati zinabadilika sana. Kuna kampuni za kilimo zinahusika na kuwalimia watu, hawa ni wadau wa kilimo Kaa nao uwasikilize na kujua changamoto zao na Serikali Ione inawasaidiaje na sio kuwatukana kila siku huku serikali hiyohiyo imewasajili hadi soko la DSE, na hizi kampuni nyingine...
  6. Shapu

    Wakili Pasco Mayalla - A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part 1

    Makala nzuri sana Pascal Mayalla. Nimekuwa nikifuatilia mabandiko yako tangu JF imeanzishwa - hujawahi acha nifikirisha kwa uandishi wako. You can actually twist somebody's mind just like that.
  7. Shapu

    Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

    Dah aisee ipo kazi. Nilimsikiliza kikadhani mm sijaelewa. Hii ni kama kuhalalisha rushwa lkn iwe ndani ya himaya yako. Too bad.
  8. Shapu

    SoC 2021 Magonjwa ya akili yanatibika, vunja ukimya

    Umeweka topic nzuri sana. Dunia hasa ya hapa kwetu tanzania ime ignore sana hili eneo. Watu wengi wako mitaani wanazururua zurura kumbe wanaumwa akili na wanahitaji tiba. Yaani tumewapuuzia sana. Tunaona wagonjwa wengine wanapita na kuomba misaada tunatoa lakini hawa hatuna issue nao kwa kuwa tu...
  9. Shapu

    Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Ndugu haswa wewe ndio umeiweka vizuri. Ona kwamba wachumi wengi wako central bank (BOT) exactly huko ndio kwao na sio wizara ya fedha. Hapana Finance sio sehemu moja ya uchumi - hapo ndio wengi mnachanganya. Labda useme uhasibu ndio sehemu moja ya Finance. Pia usichanganye Finance na Uhasibu...
  10. Shapu

    Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Watu wengi hasa watanzania hawajui tofauti ya Economics and Finance. Uchumi sio finance, profesion ya Finance hajulikani vzr hivyo watu hupelekea kuwapa wizara ya fedha watu wa uchumi ambao hawana utaalamu kabisa kwenye mambo ya finance. Watu wa finance ndio walitakiwa zaidi kwenye wizara ya...
  11. Shapu

    Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

    Hivi ni njia gani rahisi ya kumtimua mbunge mliomchagua? Maaana mbunge anaweza chaguliwa kweli na wananchi baadae akawageuka, inabidi wavumilie mpaka mitano iishe ndio wamtimue kwa kura. Hamna njia ya rahisi na haraka kumtimua anytime?
  12. Shapu

    Katiba Mpya: Heri Rais Samia akaruhusu mchakato, asisubiri mashinikizo

    Hivi maamuzi ya Katiba ni swala la Raisi kuamua? Yaani Raisi ndio decision maker wa either review ya katiba ifanyike au la? Katiba ya sasa inasemaje kuhusu review ya katiba maana naona kila mtu anasema Raisi ndio aruhusu why yeye?
  13. Shapu

    Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

    Sasa namwelewa Msukuma na yule mwingine Kesheki sijui jina vizuri wanavyo washambulia wasomi wa Tanzania. Wengi wa wasomi wetu wana mambo ya ovyo sana.
  14. Shapu

    Kwamba makosa ya Sabaya hayapo Polisi yapo TAKUKURU? Wadanganyika

    Well said. Umeiangalia hii issue kwa jicho la tatu vizuri.
  15. Shapu

    Kwa taarifa yako!!

    Mbona Ex wife wa Putin anaitwa jina hilo?
  16. Shapu

    Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    1. nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya. hii fikra ya namna gani? kwa hiyo gesi ibaki huko tusiiuze kwa kuwa tu Kenya watafaidika? a. Hii sera yetu ya...
  17. Shapu

    Vigogo wa Chama cha Walimu (CWT) waburuzwa Mahakamani Kisutu kwa ufisadi

    Duu yaani kwa sasa nimeshindwa kuelewa sasa hawa TAKUKURU wanatakiwa ku deal na nini. Kwa hiyo hata kama nimempa mama watoto hela ya matumizi ya chakula cha familia akaamua kuichepusha na kwenda kusukia wigi namripoti TAKUKURU then wanamfikisha mahakamani fasta.
Back
Top Bottom