Search results

  1. F

    Haingii akilini Messi kuwa mchezeji bora!"

    Nimemsikia Shaffih Dauda akidai Messi alistahili tuzo hiyo kwa sababu Roben na Muller vigezo vyao vilikumbana na tabia zao za kujirusha ama kulalamikia maamuzi yanayotolewa.
  2. F

    Gwajima, jitokeze hadharani Uongee Ukweli,Uondoe utata,la sivyo...

    Nadhani hata kama Gwajima si memba JF lakini wafuatiliaji wa mambo watafikisha ujumbe; ni sahihi kabisa kama mtumishi aliyetukuka awe wazi juu ya hii skandali.
  3. F

    Bomu la machozi au Risasi ya moshi neno lipi sahihi.

    Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda yanastahili kutumika.?
  4. F

    Mwanangu ananyonya sana!

    Pia mtoto anaponyonya maziwa ya mama kwa muda mrefu humuongezea kuwa na uwezo mkubwa wa IQ
  5. F

    Huu ni ushenzi uliopitiliza

    Kama waathirika huyo dada na mdogo wake wangeonyesha hali ya kutoridhika ufirauni huo basi tungewashauri waende katika vyombo vya sharia.
  6. F

    Bajeti yaanza kuuma: Vifurushi vya voda bei juu!

    Serikali imeshindwa kabisa kusaidia wananchi wake wafaidike hata kwenye mawasiliano ya simu; mbona kwenye vileo na sigara ingefaa/ingetosha.
  7. F

    Lipi neno sahihi "shusha" na "acha"

    Mara nyingi ndani ya vyombo vya usafiri hasa daladala utasikia abiria anatamka shusha kituo fulani ama acha kituo fulani. Ni neno gani hasa linapasa kutumika?
  8. F

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Kama bata vile.....
  9. F

    J.T Found Not Guilty Of Racist Abuse

    Chelsea captain John Terry has been not guilty of racially abusing fellowa footballer Anton Ferdinand during a Premier League game. We are pleased that John can now put his mind back to football return to training and do what he has been doing for years. Source: Skynews
  10. F

    Kidume avunje tanesko ubungo.

    Nasikia tetesi kuwa ni la Rostam Aziz.
  11. F

    polisi waliopo kwa ulinzi wa raia,wamezidishiwa madaraka au???!!!

    Na sisi raia tujaribu kufuata sheria na taratibu za nchi uone kama utahojiwa ovyo ovyo.
  12. F

    Membe Alikoroga CCM, kauli yake ya CHADEMA kushika dola yamponza

    Membe nae ni mbabaishaji, kauli zake kama za kejeli kwa CHADEMA; kuweni makini na watu kama hao. Kama vipi ajiunge na chadema mapema.
Back
Top Bottom