Search results

  1. F

    Wakazi wa Mbweni Mpiji hatuna imani na Paul Makonda

    Kwa kipindi kirefu sasa, wakazi wa Mbweni Mpiji iliyoko manispaa ya Kinondoni tumekuwa na matatizo mbalimbali ambayo serikali ya wilaya na mkoa wameshindwa kushirikiana na wananchi ili kusaidia kutatua matatizo hayo. Mojawapo ya matatizo matatu tuliyonayo yaliyodumu kwa kipindi kirefu ni magari...
  2. F

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Taifa limemsubiri Ndugu Edward Lowassa azungumze toka ajiuzulu kutokana na kashfa ya Richmond. Tulimtarajia aongee mambo kadha lakini hakuyatolea ufafanuzi; 1. Amesema kuwa atafanya mambo mengi ya maendeleo akichaguliwa lakini hakusema atafanya nini kuleta mabadiliko hayo; Kwa mfano amesema...
  3. F

    Lowassa atafilisiwa na wabunge wanaonyemelea mamilioni yake

    MAGAZETI kadhaa yatolewayo kila siku nchini, Jumatatu Februari 9, 2015, yaliongozwa na habari kuu kuhusu Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba ‘anang'ara katika mbio za urais'. Katika habari hiyo, magazeti hayo yote yalinukuu kauli za wabunge saba wa CCM wanazodaiwa kuwa walizitoa...
  4. F

    Pesa za Escrow zatumika kampeni za Lowassa

    Ndugu zangu, hili wazo limeniijia kichwani baada ya gazeti la Mtanzania kuandika habari kuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti Andrew Chenge amejiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa kamati ya bunge ya bajeti kutokana na kuhusishwa kwake na kashfa ya Escrow. Wote tunafahamu kuwa Chenge ni mshauri...
  5. F

    Makamba: Kazi ya Kinana na Sekretarieti yake inaonyesha matunda; Wanastahili pongezi

    Lowassa akichaguliwa tu kugombea kiti cha urais kwa ticket ya CCM, uchanguzi unaweza kusogezwa mbele maana afya yake inatia mashaka. Juzi tulikutana naye, akaweka mkono mezani ili kila mtu apite na kuushika bila kuusogeza kama robot. Mbali na kutumia mamilioni ya pesa kuonga, bado kapata...
  6. F

    Makamba: Kazi ya Kinana na Sekretarieti yake inaonyesha matunda; Wanastahili pongezi

    Haha ni mawazo ya wakosaji na wivu wa like. Baraza la Mitahani lipo na katuletee result slip. Haha ni manna ya kijiweni. Wewe ulipata division nagging four? Haya ni mawazo ya wakosaji na wivu wa like. Baraza la Mitahani lipo na katuletee result slip. Haha ni manna ya kijiweni. Wewe ulipata...
  7. F

    Makamba: Kazi ya Kinana na Sekretarieti yake inaonyesha matunda; Wanastahili pongezi

    Nafikiri wewe ni kati ya watu wengi wanaokuja hapa kuchangia bila kusoma ripoti kwanza. Sisi tuliokuwepo kwenye uzinduzi wa ripoti tumeambiwa na watafiti kuwa aslimilia 42 ya watanzania hawajaamua watampigia nani kura (undecided voters) kwahiyo idadi hiyo ni kubwa kuliko watu wote walisema...
  8. F

    Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Swali ambalo limejiuliza ni kwamba, tafiti zote zilozofanyika zimeonesha kuwa Magufuli anaongoza lakini tafiti hii haikuweka jina lake. Pia, asilimia 42 ya watanzania hawajui rais hajaye ni nani, hawajui watampigia kura nani kwahiyo ni mapema sana kwa Lowassa kushangilia.
  9. F

    Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

    Pole sana Mh. Rais kwa kuugua. Lakini pia, nina uhakika nchi hii ina wataalum wa kutosha kuweza kufanya upasuaji kama huu. Uamuzi wako wa kufanyia upasuaji huu Marekani ni kuonesha kuwa kipindi chote ulichokuwa madarakani hukufanya chochote kuendeleza sekta ya afya. Kama kweli umefanya kazi...
  10. F

    Serikali iwachunguze waandaji wa Mashindano ya Miss Tanzania

    Kwa miaka mingi sasa, kumekuwepo na tuhuma kuwa waandaji wa mashindano ya Miss Tanzania, wakiongozwa na Hashimu Ludenga, Mkurugenzi wa Lino international Agency, kuwa ni madalali wa kuuza dada zetu wanaoshiriki kwenye mashindano haya. Watoa tuhuma hizi wamekuwa wakidai kuwa warembo hawa wamekuwa...
  11. F

    Prof. Kikwete aenda Marekani

    Huyu bwana alikuwa Marekani wiki tatu/nne zilizopita, kwanini akuongeza angalau siku mbili za kumwona daktari kabla ya kurudi nyumbani? Tatizo la JK anaona kuwa kusafiri ni haki yake bila kujali hasara anayoiingizia taifa. Nafikiri wataalamu watusaidie kufanya utafiti wa kujua ni nani anaendesha...
  12. F

    Halima Omari Dendego, Mkuu wa Mkoa mpya wa Mtwara ni nani?

    Kuchaguliwa kwa Bi. Halima Dendego kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Mtwara kumenishangaza kutokana na ukweli kuwa machafuko tuliyoyaona Mtwara hivi karibu yanahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa kuweza kusaidia kuweka sawa hali iliyopo hivi sasa. Binafsi siwezi kumuhukumu kwakuwa simjui vizuri na ningependa...
  13. F

    Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

    Ukisoma gazeti la Mtanzania la leo ukalinganisha na kile alichokiandika afisa habari wa waziri mkuu, Bonny Makene jana usiku kwenye ukurasa wake wa Facebook, utaona kuwa habari ya leo iliandikiwa baa au watu wote wanaomshabikia Lowassa walipewa habari hiyo waisome kabla haijatoka kwenye gazeti...
  14. F

    January Makamba: Kwa asilimia 90 nitajitokeza kugombea urais 2015

    Kwanza, nafikiri huyu bwana ni haki yake kikatiba kuonesha nia ya kugombea kama ambavyo mtu yoyote anaweza kugombea. Pili, nafikiri sisi kama watanzania tunatakiwa kujadili issues alizozisema, siyo kumshambulia yeye. Najua TZ hatuna utamaduni wa democratic debates lakini wakati ni sasa...
  15. F

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Ukisoma maelezo ya mtu kama huyu, unaweza kujua ni kwanini nchi yetu ni maskini miaka 50 baada ya uhuru. Watu ambao ni maskini wa fikra kama wewe, huwezi kusaidia nchi yako kupata maendeleo hata siku moja. Nafikiri kusudio la kuletwa kwa makala ya January Makamba hapa si kupiga majungu na...
  16. F

    Prof. Sospeter Muhongo's latest CV

    Sospter Muhongo hajawati kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, hana uzoefu katika uongozi na ni mtu mwenye jazba sana. Tuhuma alitozoa dhidi ya wabunge zitamtokea puani. Amefanya makosa makubwa sana kumpigia simu balozi wa marekani ni kumtuhumu kuwa shirika la kuzalisha umeme la Symbion limewaonga...
  17. F

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Kila Mtanzania anatakiwa kutoa mchango wake katika kutatua matatizo yanayoikabili nchi hii. Majukumu ya mbunge si tu kuendeleza jimbo lake bali taifa kwa ujumla. Bora huyu jamaa kaamua kuchukua hatua badala ya wengi wetu ambao tumeamua kukaa kimya. Whether the initiative will work or flop, huo...
  18. F

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Watu wewe ambaye mbali na kuwa na faida na kuwa na internet, hujui kuwa professor Lipumba huwezi kujua kuwa mwaka 1993-94 professor Lipumba alikuwa ni FULBRIGHT VISITING PROFESSOR, Williams College, Massachussets, napata shida kukubali na kuheshimu hoja zako. Internet si tu kusomea JF, bali pia...
  19. F

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Kwani Mnyika kazuiwa kutafuta self-promotion? Kumbuka kuwa opportunities hazikufuati ndugu, unazitafuta na kuzifuata katika kila eneo - siasa, elimu n.k. Mimi binafsi napenda watu aggressive, hata JF wangesubiri mtu aje kuwaanzishia JF leo hii tusingepata platform hii. Pia, kama rais Obama...
  20. F

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Gazeti la The Obsever siyo KIU au IJUMAA kusema kuwa unaweza ku-lobby au kutoa hongo kwa mhariri ili uandikwe. Jambo kubwa ambalo mwanadamu mwenye uelewa anatakiwa kufanya kabla hajatoa maoni yake juu ya jambo lolote ni kufanya utafiti. The Observer, gazeti dada la the Guardian ya London ni...
Back
Top Bottom