Search results

  1. QUALIFIED

    Network unlock

    Habari wakuu, Mwenye network unlocking code za Motorola e5 locked by Verizon anisaidie tafadhali. Imei yake 351838090697861.
  2. QUALIFIED

    Naweza pata wapi free tutorials za java na JavaScript

    Habari wakuu, Naweza pata wap free tutorials za java na JavaScript complete. Kwa anaejua tafadhali
  3. QUALIFIED

    Wazee wa PS games tukutane hapa

    Habari wan aJF Naleta thread hii mahususi kwa kupeana ujuzi zaidi kuhusu ps2, ps3 na ps4 kwa matengenezo na vitu muhimu pia kama una games unaweza kuzilink watu wazipate na updates zote.
  4. QUALIFIED

    t-mobile sim unlocking

    habari wanajamvi kama una mtu anafaham namna ya ku unlock sim za t-mobile ambazo zimefungwa upande wa line zinaomba codes sim yenyewe ni ya buttons naomba msaada tafadhali
  5. QUALIFIED

    Msaada kuupgrade android os

    Habari wakuu Nina samsung s5 sm g900f ina android 4.4 bado nataka kuupgrade kwenda android 6.0 naomba msaada jinsi ya kuupgrade kwa anaefahamu tafadhali
  6. QUALIFIED

    Samsung galaxy s5 inauzwa

    Habari wakuu nna sim tajwa hapo juu inauzwa bei maelewano
  7. QUALIFIED

    Kwa budget hii nitapata gari?

    Habari wakuu Kwa budget ya mil.2 naweza gari aina gani na litakuwa kwenye hali gani kwa matumizi
  8. QUALIFIED

    Samsung s3 (gt-i9300) ipo sokoni kwa anaehitaji

    Nadhani kichwa cha habari kimejitosheleza kwa mahala ni mbeya
  9. QUALIFIED

    Siasa na mitazamo ya kisiasa

    Binafsi sio mtu wa siasa sana nimejikita kwenye uhalisia na kutizama mambo kama yalivyo kwenye jamii Huwa nastaajabu sana kuona kijana anatetea chama cha upinzani tena anatumia nguvu nyingi kujenga hoja, ushawahi kujiuliza chama unachokisimamia na kukitetea kimekusaidia nini? Kimeleta...
  10. QUALIFIED

    Msaada: Jinsi ya kufanya flash kuwa bootable

    Habari wakuu Nahitaji kufahamu jinsi ya kufanya flash(usb) kuwa bootable kwa kutumia command prompt kwa niweze kuweka windows na kuboot kwa kutumia flash hiyo Asante
  11. QUALIFIED

    System kubadilika kila siku inayumbisha nchi

    Habari wakuu Nimeangalia swala la vigezo vya kuingia vyuoni kwa wanafunzi wa kidato cha sita nikagundua ni ubabaishaji sana hasa kwenye muundo mzima wa serikali. Hatuwezi kujenga nchi imara kama kila waziri mpya akija anakuja na kitu kipya anachofikilia anabadilisha system yaani utadhani...
  12. QUALIFIED

    Kuwepo vs Kutokuwepo

    Wakuu habari Kuna maswali huwa sipati majibu nikayaona ni sahihi naomba tushilikiane kupata majibu tafadhali 1. Kama usingekuepo wewe nafasi yako ingechukuliwa na nani? Kama isingechukuliwa mambo ambayo umeyafanya yasingefanyika? 2. Kama usingekuepo ungekua wapi? Na huko ambako ungekua ungekua...
  13. QUALIFIED

    How to upgrade software in galaxy s3

    Wakuu nahitaji kuupgrade software kwenye galaxy s3
  14. QUALIFIED

    Cool games latest and up comming

    http://www.vidmate.mobi/landing?p=MTc1OTk2MzIw Top 10 Upcoming PC Games of 2016 | HD | The top video downloader, Vidmate! Highly recommend! Click to get your favorite videos!
  15. QUALIFIED

    Alcatel one touch

    Habari wakuu Nahitaji kununua sim aina ya alcatel one touch kwa anaeifahamu vizuri anaweza kunipa matatizo yake
  16. QUALIFIED

    Njia rahisi ya kuroot tecno 8H msaada

    Wakuu habari Nina tablet ya tecno 8h inarun Android 5 nahitaji kuroot njia ipi ni rahisi
  17. QUALIFIED

    Msaada: Sijajaza baadhi ya information online

    Habari wakuu nimelogin kwenye account yangu heslb wananiambia sijajaza baadhi ya sehemu Kama form 4 sitting Na sehem nyingine lakini nikiingia zinaonyeshwa zimejazwa sasa nashindwa kuelewa tatizo Ni nini
  18. QUALIFIED

    How to update to windows 8.1 in Lumia 625

    Habari wakuu Nina Nokia Lumia 625 black Ina windows 8 nataka kuupdate kwenda windows 8.1 nashindwa msaada kwa mwenye ujuzi tafadhali asante
  19. QUALIFIED

    Jinsi ya kupata iphone 5 niliopoteza

    Wakuu habari, nlipoteza iphone 5 yangu around mwezi hivi umepita nikitaka kuipata ntafanya nini wakuu msaada tafadhali Asante.
  20. QUALIFIED

    Natafuta Movie maker & editor for android

    Habari wakuu Natafuta movie maker ambayo ntaweza itumia bila kuunganisha na internet ama ambayo ntaweza make a short film na kuidownload kirahisi Ni hayo tu wadau Asanteni
Back
Top Bottom