Search results

  1. kilimo cha pork

    Ukizoe mchemsho...

    :mad2:
  2. kilimo cha pork

    Mwanahalisi leo latoboa ile ya ndani kabisa ya EPA!

    :confused2::confused2::confused2:
  3. kilimo cha pork

    Mume wa Mtu ananitaka

    :A S angry: uNGEKUWA HUMTAKI UNGEMPA ZA USO ILA WEWE NI SITAKI NATAKA HUNA HAJA YA KUOMBA USHAURI AMUA MOJA KAMA UNA MSIMAMAO MPE AU MTOSE
  4. kilimo cha pork

    Mwanamke tattoo!

    :nono::A S angry:
  5. kilimo cha pork

    Elections 2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

    Ni muhimu wote tumuunge mkono japo mafisadi wataiba kura ila fundisho watalipata.PEOPLE POWER WILL BE THERE SOON.:A S angry:
  6. kilimo cha pork

    Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

    Hizo ni mbinu za wazungu kukusanya pesa za waislamu ili wazalishie bila kulipa fadhila za wateja.Maerkani walizitumia sana za warabu ila sasa waarabu waarabu wanainvest kwao mtaji wa western umeanguka
  7. kilimo cha pork

    Unamkumbuka huyu?

    Alijitangaza sana kupitia ze utamu na wamemjua hadi kumpa ujaji mpe hongera
  8. kilimo cha pork

    Ni kweli ndoa ya Clouds Fm na CCM ishafungwa?

    Nadhani wanaona rahisi kusafiria nyota ya wenzao waulize vizuri Marehemu Amina hakupata ubunge kwa kupiga debe radioni wanajidanganya bora wang'arishe ya kwao. Wafanye kazi iliyowapeleka na sio kuwa wapiga debe watajutia baadae.:angry:
  9. kilimo cha pork

    Pamoja na Bodi kumpendekeza, Dk Rashid aweka sharti la kurudi TANESCO!

    [I][B]Nchi imeuzwa kwa wachache mwajiriwa ampa masharti mwajiri haijawahi tokea ila imepangwa ni mwaka wa EL na uchaguzi upo konani:drum:
  10. kilimo cha pork

    Ole Sendeka akaribia kuzipiga kavu kavu na RC wa Manyara kwenye mkutano

    Tatizo tunatumiwa bila kujijua EL anataka urais 2015 na anatumia mbinu zote ili kusafisha njia.Jihadhari sana na maelezo yako usijeumbuka baadae 2015 sio mbali cool Girl
Back
Top Bottom