Search results

  1. M

    Moto wazuka Hosteli za Mabibo

    tupeni habari za uhakika bwana. sie tupo arusha tutaamini lipi?
  2. M

    Vichaa watoroka hospitali ya Mirembe! Wengine wakutwa nyuma ya hospitali wakizini

    vichaa wa mirembe siyo wote hawana akili wengine ni wazima kabisa kwani wapo wanao saidia hadi kupika wapo wanaocheza mpira vizuri tuu
  3. M

    Nitapataje nembo ya tbs?

    KUNA wataalamu wanasaidia watu kama wewe. kwa makubaliano anakuchongea hiyo nembo ili ujigongee mwenyewe maana hao TBS wakileta nembo yao watakudai pesa nyingi zaidi ya gharama za kuandaa bidhaa yako
  4. M

    Ajira burka estate

    wanajamvi napenda kuwajuza kuwa kuna nafasi za kupalilia kahawa katika shamba la kahawa la burka estate lililopo jijini arusha kama unaelekea uwanja wa ndege kisongo.kwa ambaye yupo teari nenda moja kwa moja ofsini kwao na kazi inaanza jumatatu . HAKUNA KIWANGO CHA ELIMU WALA REFEREE,.
  5. M

    Msichana bella natafuta kazi

    kwani bella maneno yako ynauongo mwingi mmno,wewe kwa miaka 18 umemaliza form 6 lini na matokeo ushayaona na hizo lugha ukazisoma? maana kila anaemaliza form 6 anamatarajio ya shahada. otherwise kuna watu hawatafuti kazi la zaidi wanataka kuonekana tu pls acheni utani
  6. M

    Shiriki uzoefu wangu wa .. - usiku wa giza

    labda ulisoma BA- swedish
  7. M

    nimeomba dodoso ndefu jina langu limetoka dodoso fupi

    umepewa dodoso fupi ila kazi utafanya ya dodoso refu na malipo dodoso fupi, hiyo ndiyo tafsiri yake?
  8. M

    Burning sensa: Yatakua ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe:arumeru

    NILIKOSA kazi ya kuhesabu kura, sasa nimekosa kazi ya sensa, sababu ni kukosa referee maana nina elimu ya shahada.sasa nimeamua kijipanga na kuanzisha chama cha marefaree kwaajili ya wanyonge kama mimi wenye elimu lakini wapo mtaani, huku arumeru urefaree ndo umewapatia watu kazi bila vigezo...
  9. M

    Usaili kazi za sensa kesho saa moja asubuhi.

    sasa wenzetu wa DAR mambo yenu mnayapata nje nje tu huku arumeru mambo ni kimya kama vile hakunaga sensa mwaka huu, kama watatulipa laki tano ntakua nimepata pesa ya kurudi dodoma ku graduate maana tempo zimekua kaa yesu yaani ni hakunaga kabisa nimetafuta hata ya ulinzi wa usiku nimekosa hii...
  10. M

    Ajira Mpya Zilizotangazwa

    du ukishajua usinyamaze tuambie na ss hizo ajira mpya tupo ma jobless kibao humu
  11. M

    Ajira mpya jeshi la polisi

    jeshi la polisi latangaza nafasi za mafunzo kwa undergraduate wanaomaliza mwaka huu anayejisikia anatakiwa ku download fom na kutuma
Back
Top Bottom