Search results

  1. M

    Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

    Dr Slaa, amezungumza hoja za msingi sana japo hali mvia, japo ni baraka, imekuwa ni kikwazo cha kunfanya maeneo mengine asizungumze kwa kirefu. Amezungumzia mambo yafuatayo: 1. Utawala wa sheria 2. Mkakati wa UKAWA katika kuing'oa CCM 3. Uozo wa Jatiba inayopendekezwa na utaraatibu wa...
  2. M

    Mhe. Lema, Mhe. Msigwa na Mhe. Sugu kuendelea kukoleza moto wa Mabadiliko Morogoro

    Mbunge wa mwisho ni Mzee Amir Jamal, aliyetetea maslahi ya wanachi hata kujengewa viwanda kadhaa kikiwapo kiwanda cha Tumbaku na kadhaa. Waliofuata walikuwa ni Shamim Khan, Mazora na kisha Oscar Mloka. Akaja Mzelu (kipindi cha miaka 5 kasema mara 2)..kisha Abood.
  3. M

    Mhe. Lema, Mhe. Msigwa na Mhe. Sugu kuendelea kukoleza moto wa Mabadiliko Morogoro

    Mshereheshaji anaelezea namna ambavyo Morogoro imekosa Mbunge mwakilishi wa Wanachi tangu 1986. Mbunge wa mwisho alikiwa 1985.
  4. M

    Mhe. Lema, Mhe. Msigwa na Mhe. Sugu kuendelea kukoleza moto wa Mabadiliko Morogoro

    When the truth is spoken by free people, conservative politicians provoke it as lies.. Nothing new.. dream killers and dream haters are from the same family.
  5. M

    Mhe. Lema, Mhe. Msigwa na Mhe. Sugu kuendelea kukoleza moto wa Mabadiliko Morogoro

    Huu ni ujinga wa MaCCM. wamesahau Deo Sanga mbunge kiongozi kucheza ndombolo bungeni anaelimu gani. MaCCM yanasahau Bibi Titi Mohamed alikuwa na elimu gani alipopigania uhuru wa Tanganyika na akaeleweka.Msigwa aliwaambia "Katika Bunge hili Profesa na mtu wa darasa la pili hakuna tofaiti, wote...
  6. M

    Mhe. Lema, Mhe. Msigwa na Mhe. Sugu kuendelea kukoleza moto wa Mabadiliko Morogoro

    Wabunge watatu hao leo jioni hii watakuwa Viwanja vya Zimamoto, vilivyopo katika Manispaa ya Morogoro. Watakuwa wakishusha nondo a.k.a. makonbora ya nguvu katika Operation Delete CCM. Watu wanazidi kujongea uwanjani muda huu. Hali ya hewa ni ya mvua ndogondogo (manyunyu) huku angani kukiwa na...
  7. M

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    Hii hatari siasa mpaka kwenye afya za watu. Najua wizarani kuna wataalamu wazuri tu ila wanasiasa aanalazimisha mambo yao.
  8. M

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    Kwanini utaratibu wa awali, zaidi ya miaka 40, kuwa anayefaulu anapangiwa kituo umetupwa nakuchukua huo uliotajwa hapo juu?
  9. M

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    Ajira iko chini ya Kurugenzi ya Rasilimali watu, matokeo yako chini ya Kurugenzi ya Mafunzo. Unauhakika Wizara haijui matokeo hayo?
  10. M

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    Weston, tunapenda sana watanzania haswa vijana waajiriwe. Lakin, hatuwezi kufurahia kuajiriwa kwa vijana wasio na sifa. Halafu, unaowaajiri hawaendi kuhudumia makaratasi Bali watu, watu wagonjwa.
  11. M

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    EPA ilipoanza walisema uzushi Kagoda ilipotajwa walisema uzushi Meremeta ilipoibuliwa walisema mnatishia usalama wa nchi Tulawaka ilipoguswa wakaambiwa ni wenye uchu hao Radar ilipotajwa wakaambiwa wanawivu wa kike Twiga kuibiwa wakiwa hai Raiamwema wakaambiwa wazushi Escrow ilipotajwa...
  12. M

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    Nimemuelekeza mwenzako nini cha kufanya. Kwa nyongeza tu wasiliana na walimu katika chuo chochote cha fani nilizozitaja ambacho mwaka Jana wanachuo wao walifanya mitihani ya Wizara atakwambia ukweli. Halafu Skype majina ya wanafunzi wanaosupp halafu ingiza kwenye hiyo database uone majibu yake.
  13. M

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    Unajua hata Abunuwasi mara kadhaa alionyesha hekima ya wafalme si kitu? Nenda kwenye www.moh.go.tz ingia kwenye ile link ya Tangazo la ajira halafu ingiza majina na taarifa nyingine ikiwa kada wanayosomea, ya hao wanafunzi am so unataarifa walisupplemt katika mitihani yao ya mwaka Jana, ndipo...
  14. M

    Wizara ya Afya yatoa ajira kwa wanavyuo wasiofaulu (wana supplementary)

    Jambo hili ni la ajabu sana. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetangaza nafasi za ajira kwa wahitimu na wasio wahitimu kwenda katika Halmashauri mbalimbali nchini. Tetesi zilizopo ni kuwa jambo hili limefanyika kisiasa zaidi ili ionekane kupitia Big Result Now wataalamu wa sekta ya Afya...
  15. M

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Amaa!! Utaratibu huo ulianza lini? Nyerere alijengewa wapi? (aling'atuka 1985) Mwinyi alijengewa wapi? (alistaafu 1995) Mkapa alijengewa wapi? (alistaafu 2005) Kikwete bado hajastaafu na nyumba hiyo ilianza kujengwa 2006 na Yule mkandarasi aliyepata tender ya kujenga ghorofa katika viwanja...
  16. M

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Si vibaya ikajulikana hata na ile ya kuzivua makuti zile nyumba zilizokuwa karibu yake na kuzivika bati.
  17. M

    Kilichonisikitisha leo, pale benki!

    Yaweza kuwapuuza baadhi ya wastaafu kwakuwa hawawezi kugoma. Ilipotajwa kuwa hali ya kifedha ya Serikali ni mbaya, wapuuzi wakina Msalani na Faizafoxy wanapinga. Hata katika hili watakuja na dharau zao.
  18. M

    Kwa wajuzi wa simu za window

    Nashukuru sana mkuu. Natendea kazi nitakujulisha matokeo.
  19. M

    Madawa ya Kulevya: Padri John Wotherspoon atembelea Tanzania

    Mkuu EMT, katika mengi ninakupongeza LAKINI katika hili sikubaliani nawe na Kasisi Wotherspoon. Katika fani ya tiba Principle mojawapo ya Code of Professional Conduct ni Confidentiality and Privacy. Hapo mmelivunja hilo. Kutoa taarifa za mgonjwa kwa kiasi hicho..NO. Haikubaliki. Ni aibu kwa...
Back
Top Bottom