Search results

  1. C

    Plot for sale at Buyuni Chanika

    Plot for at Buyuni Chanika Ilala with clean title deed. Area size:1313sqm Block:7 Clean Title deed Price: Tsh 30,000 Call: 0784558677
  2. C

    Askari wawili wa wanyama pori wauawa Runzewe

    ASKARI wawili wa jeshi la wanyama poli wameuawa jana jioni baada ya kupigwa na wananchi wa kijiji cha Nyamonge kata ya Runzewe wilayani Bukombe baada ya kuzaniwa kuwa ni majambazi. Baada ya askari hao kuuawa pikipiki waliyokuwa nayo iliteketezwa kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la...
  3. C

    Investment In Livestock Industry

    Wakuu heshima zenu. Nina interest ya kuwekeza kwenye hii sector ya ufugaji either kwa kushilikiana na NARCO au na watanzania wenye blocks. Eneo liwe kwenye Kikula Ranching complex ambayo inajumuisha Kikula yenyewe, Kagoma na Mabale, eneo la pili ni Missenyi Ranch. Kama kuna mudau mwenye...
  4. C

    DAF XF TRUCK Inauzwa

    Nauza gari yangu DAF XF truck ya mwaka 2003 pamoja na tera aina ya uchanja (Super single), gari iko safari kupeleka mzigo Kahama na iko poa sana. Vehicle Details: Make: DAF XF Model number: XF95 Registration: T714 CND Engine number: U39501 Engine capacity: 12600 Bei ni 55m kwa pamoja...
  5. C

    Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

    Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.
  6. C

    Ufisadi Wa Sita Ni Wakweli?

    HABARI ZA KUTHIBITIKA!!. Ufisadi wa Samwel Sitta Ama kweli, ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Kama unadhani vigogo wa EPA ni mafisadi peke yao , basi ulikuwa hujamfahamu Spika wa Bunge SAMUEL JOHN TEGEZA SITTA ! Ukimsikiliza anapoongea unaweza kuamini kwamba kiongozi huyo wa...
  7. C

    Kung'olewa kwa Lowassa kwaokoa 15 billion

    Kama mheshimiwa EL angeendelea kubaki MP wa nchich yetu tugejikuta tunalambwa ma bilion ya shilling imefahamika. Mvua ya Thailand maarufu kama mvua ya Lowassa kama makubaliano ya kimkata yagefikiwa ingeligarim kiasi cha pesa za kitanzania bilion kumi na tano. Taarifa ya mvua hizo, zilikuja...
Back
Top Bottom