Hakuna serikali ya Tanganyika wala Raisi wa Tanganyika, Ashukuriwe au alaumiwe Nyerere. Wazanzibari wana haki ya kumchagua Raisi wa Tanzania, kwa sababu nao ni sehemu ya Tanzania.
Kuwaridhisha kwa lipi? Wanawake 1001 - ili aweze kuwapitia wote ndani ya mwaka, inabidi akukuruke na wastani wa wanawake 3 kwa siku, kila siku bila kukosa. Hata kama hilo linawezekana ina maana watakuwa na zamu za mwaka mara moja.
Haswaa!
Asilimia kubwa ya hivyo viwanda vilikuwa ni hasara tupu.
Sababu nyingine ilikuwa mkuu akiharibu kwenye taasisi moja Nyerere anamuhamishia nyingine. Mwinyi akaleta Ruksa, hali ikawa mbaya zaidi.
Na Mkapa naye badala ya kurekebisha mapungufu, akagawia Mafisi
Nunua Tofali mkuu. Huwezi kuokoa gharama wala kupata tofali bora zaidi kwa kufyatua mwenyewe.
Wapiga tofali, kwanza ni professionals wa hiyo kazi. Pili wanapata materials kwa bei ya chini mfano wanatumia magari yao wenyewe kubeba vifaa, wananunu material kama cement kwa jumla nk. Tatu wanatumia...
Maslahi ya Ufaransa. Ufaransa wamewekeza over 20B usd kwenye gas fields maeneo hayo. Magaidi waliwakimbiza mwezi March. Bila shaka Rwanda wametumwa na wamewezeshwa.
Mwaka 2021 wakati bado asilimia kubwa ya waafrika hawana maji safi ya kunywa , hawana uhakika wa mlo wa siku, na wanatumia vyoo vya shimo, tunafikiria Waarabu watakula nini mwaka 2030!
Anyway, kama hujui kuna kitu kinaitwa Sovereign Wealth Fund. Kiasi cha fedha wanachopata kwenye vyanzo...
Si ungalie mwenyewe huko John Hopkins?
Kama huna link hii hapa. Wao wana 13 confirmed, 12 active, 1 recovered, o death.
Johns Hopkins Coronavirus Resource Center
Ni sawa mkuu. Katika hali ya kawaida, mzee angejikausha na kuendelea kula hasara ya maamuzi yake kimya kimya. Lakini kutokana na umaarufu wa mwanaye, inakuwa tabu mtaani. Huyu mzee ni brazameeni fulani wa zamani, na enzi zake alikuwa Mario vile vile, maana baada ya kuondoka nyumbani kwa Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.