Search results

  1. M

    Hivi Mwakyembe ana power kuliko Pinda?

    NIONAVYO MIMI. Dr yeye kwa sasa amejitoa kwenye yale makundi yao nadhani ana mpango wa kujiunga na Mr Sitta,ataonyeshaje amejitoa kundini ni kwa kuwachukulia hatua wale wote ambao inafahamika wamewekwa kwa faida ya kundi fulani.Kwa maana nyingine ameamua kujitoa mhanga ili kulionesha...
  2. M

    Tunapambana vipi na pesa chafu Tanzania?

    Inakuwa vigumu sana kwa walioko katika nafasi ya kupambana fedha chafu kwa kuwa hakuna alie msafi anaeweza kumfunga paka kengele. Jua kuwa kama wewe unafahamu uchafu wangu tunakaa meza moja kutengeneza mikakati ya kupambana na fedha hizo huku ukijua kuwa nyuma ya pazia mimi na wewe ni miongoni...
Back
Top Bottom