Shirika la kutetea haki za binadamu, Amnesty International imeitaka Mamlaka ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude Nyagali, mwanaharakati wa kisiasa, ambao...
Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni.
1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi.
Hii ni taarifa ya Mwigulu mwenyewe
"Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo ya masharti nafuu kwa Tanzania. Mikopo hiyo yenye thamani ya Shilingi trilioni 2.3 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi minne ya maendeleo, kwa mujibu wa Waziri wa fedha wa taifa hilo la Afrika...
Ivi hapa mama Samia kapotea.
Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa?
Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee?
Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
Today the US kept its promise to hold to account individuals who interfered with Tanzania’s elections last October. Secpompeo has imposed visa restrictions on those responsible for, or complicit in, undermining the democratic process in Tanzania.
Individuals who undermined Tanzania’s democratic...
Bernad Membe ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi zote ndani ya ACT, akiwa kijijini Rondo Chiponda, Lindi, ameiambia CloudsTV kwamba hajafanya uamuzi huo kwa shinikizo lolote na sasa atabaki kuwa Mshauri wa masuala yanayoihusu Tanzania na demokrasia ya kweli.
#MillardAyoUPDATES
Bernad Membe ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi zote ndani ya ACT, akiwa kijijini Rondo Chiponda, Lindi, ameiambia CloudsTV kwamba hajafanya uamuzi huo kwa shinikizo lolote na sasa atabaki kuwa Mshauri wa masuala yanayoihusu Tanzania na demokrasia ya kweli. #MillardAyoUPDATES https://t.co/10M200YtH7
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda.
=====
Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe.
Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao...
ALERT
CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana...
Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza...
Moshi. Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi wamejitoa.
Taarifa hiyo imetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa Tacaids, Leonard Maboko kwenye ufunguzi wa wiki ya Ukimwi duniani uliofanyika viwanja vya Shule ya...
HABARI: Tumeitisha kikao cha kamati kuu Ijumaa 27 Novemba 2020, Dar es Salaam na tutawaandikia wahusika ili kisitokee kisingizio hakupata taarifa, natangaza wito kwa wanachama wetu 19 walioshiriki kuapishwa kufika makao makuu Kinondoni Ijumaa saa 2:00 asubuhi – John Mnyika...
Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC
Mnyika anasema kwa mujibu wa taratibu na sheria mwenye mamlaka ya kureuwa majina ni baraza kuu la chama na katibu wa xhama ndie mwenye mamlaka ya kuandika barua kwa tume kuwasilisha majina ya wabunge wa viti maalum.
Yanayoendelea Dodoma inabidi tume na...
Tanzania: Withdrawal of individual rights to African Court will deepen repression
The Tanzanian government has withdrawn the right of individuals and NGOs to directly file cases against it at the Arusha-based African Court on Human and Peoples’ Rights, Amnesty International has established...
Tanzania imejitoa rasmi katika Mahakama ya Africa, hivyo NGO's, mashirika na watu mbalimbali hawataweza tena kufungua kesi katika Mahakama hiyo kutafuta HAKI.
More to follow...
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.