Search results

  1. Z

    Viongozi wenye kuzuwia maoni ya wengine washitakiwe

    Mimi naona utoaji maoni wa Kusini Unguja urudiwe kwani hakukufanyika uadilifu na CCM ambayo inadai demokrasia, imekiuka sera yake hiyo huku ikiwashutumu wengine kuwa wanakiuka sera za CCM.
  2. Z

    Thanks - shukrani

    Naandika kutoa shukrani zangu kwa uongozi wa Jamii Forum kwa kulikubali ombi langu la kuwa mwanacham. Nitatumia fursa hii kutoa maoni, kujadili na hata kushiriki katika kutoa mafunzo bora ya lugha ya kiswahili. Ni matumaini yangu kwamba katika ukumbi huu hakutakuwa na kudhauliana au kutoa lugha...
Back
Top Bottom