Search results

  1. K

    Tamko la Baraza la Maaskofu juu ya hali ya Zanzibar na mgomo wa madaktari

    hongereni baraza la maaskofu wakatoliki kwa tamko lililojaa busara.
  2. K

    Star TV LIVE: Mapitio ya Mjadala wa Bajeti

    Pumba tupu.
  3. K

    Naibu waziri wa Elimu bwana mlugo

    Katika wizara ya elimu viongozi wote wanaowekwa wana udhaifu uleule, sasa yy na Mwantumu mahiza aliyeondoka wanatofautiana nini?
  4. K

    Mwigulu Nchemba na kitambaa cha bendera ya Taifa.

    Ni ishara ya kuhalalisha ufisadi wake kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo.
  5. K

    Pamba kuing’oa CCM Kanda ya Ziwa

    Mimi ni kijana niliyeamua kurudi kijijini wilaya ya Magu na kuamua kuwa mkulima wa kilimo cha pamba kitu ambacho ni nadra sana kufanywa na vijana wa leo, lakini kinachinisikisha na kunifanya nifikirie tene kurudi mjini ili tuendelee kubanana huko ni jinsi serikali yetu inavyoshindwa kutujali...
  6. K

    CCM itawatishia wabunge wake hadi lini?

    Wabunge wa CCM wajue kwamba wapo bungeni kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi hivyo maslahi ya kwanza yawe kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wao na maslahi ya kulindana kichama yapewe nafasi ya pili. Hongereni sana wabunge Mpina, Lugora, Filikunjombe kwa kuelewa kile kilichowapeleka bungeni.
  7. K

    Bajeti yawaunganisha CHADEMA na CUF.

    Inapendeza sana kama wabunge wetu wanaamua kuacha itikadi zao za kisiasa na kuamua kuwa pamoja kwa maslahi ya taifa.
Back
Top Bottom