Search results

  1. M

    State House intervenes to retain Mlimani City investor

    THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE Chief Secretary, Philemon Luhanjo, has intervened to help convince Mlimani Holdings Limited carry on with the multi-billion shillings Mlimani City project whose progress has been proceeding at a snail’s pace. Documentary evidence availed to THISDAY...
  2. M

    Anna Kilango na mamilioni yaliyo porwa ilikuwaje?

    Kwanza nampa pole Ana Kilango kwa kuumwa na apate nguvu mapema arudi nyumbani.Natoa hongera kwa JF kuweza kuwapo tena baada ya Mwema kuamua kutaka kutuzima na mwisho poleni sana na Hongereni Mike na Marc. Nimeona ni muda muafaka sasa na kuweza kuuliza hapa JF.Sote tunajua historia ya Anna...
  3. M

    Hawa kweli wanajua wanalo lifanya kama Mawaziri?

    Jamani toka Viwanja vya Ikulu hapa nimeshuhudia mahojiani na baadhi ya Mawaziri wa JK .Nimewasikia wote kuanzia Seif Khatibu, Simba , Ghasia , Ngeleja nk .Sikujua kama Sofia Simba na Ghasia ni watupi kiasi hiki .No wonder tunalia Amani na Utulivu.Mtu anaulizwa juu ya Utawala bora anasema ni...
  4. M

    Pinda: Serikali haikuwajibika ipasavyo

    Shadrack Sagati, Dodoma Daily News; Friday,February 15, 2008 @07:10 WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amekiri kuwa Serikali haikuwajibika ipasavyo ndiyo maana ikaundiwa kamati teule na Bunge kuichunguza juu ya mkataba wa kampuni ya Richmond iliyopewa jukumu la kuzalisha umeme wa dharura...
  5. M

    Baada ya siku za Bush tunaomba kujua gharama yote kwa ugeni huu ndugu JK

    Nimelazimika kuandika kidogo hapa kusikia wenzangu mnajua nini juu ya aina hizi ya Ziara za Marais kamam Bush kwenye Nchi masikini .Hii Ziara mimi imeniacha gizani kwa kuambiwa ina faida kubwa sana kwa ujio wake . Mimi ningalipenda kama faida itazidi gharama ambazo Tanzania itakuwa imeingia...
  6. M

    Hii ni Made in Tanzania tu!

    Hii ni Made in Tanzania tu! Januari 23, 2008 JOHN Nolan, yule raia wa Ireland aliyejaribu kuighilibu Serikali ya Tanzania imruhusu aanzishe mashamba ya kamba (prawns) ambayo yangeiharibu kabisa Delta ya Rufiji, alipata kuliambia gazeti moja la Uingereza kwamba kati ya nchi za "ajabu"...
Back
Top Bottom