Search results

  1. Ex Spy

    Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  2. Ex Spy

    The BIT between Tanzania and Canada does not provide fair terms. Tanzania has to stand its ground and terminate it

    What are Bilateral investment treaties (BITs) These are agreements between two countries that aim to promote and protect foreign direct investment (FDI)of the investors. BITs typically include provisions on fair and equitable treatment, (FET), National Treatment (NT), Most Favoured Nation...
  3. Ex Spy

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi. === Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, imeridhia kwa kauli...
  4. Ex Spy

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ateuliwa kuongoza Baraza la Habari Tanzania (MCT)

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga ametangaza kuachia wadhifa huo ndani ya miezi mitatu kuanzia juzi Septemba 28, 2023 baada ya kudumu kwenye wadhifa huo kwa miaka 15. Kutokana na uamuzi huo, Bodi ya wakurugenzi wa MCT imemteua Ernest Sungura, kushika wadhifa...
  5. Ex Spy

    DOKEZO Organized Crime(?): Nani wapo nyuma ya Ramla Said Ahmed?

    Huyu ni Mmiliki wa Sharjah Trading (nitaeleza kwa undani kuhusu hii kampuni). Miaka michache iliyopita wakati wa utawala wa Magufuli alikamatwa, akafunguliwa kesi ya utakatishaji fedha akafanya plea bargaining, ikakubaliwa - akalipa faini na kuachiwa. Ramla alikamatwa juma lililopita, siku ya...
  6. Ex Spy

    Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  7. Ex Spy

    Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge. Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
  8. Ex Spy

    Ruto: Unga wa Mahindi utashuka bei wiki ijayo

    Rais William Ruto ametangaza kuwa bei ya unga wa mahindi itashuka zaidi kuanzia wiki ijayo. Akizungumza katika Kaunti ya Meru leo Jumamosi, Rais Ruto alisema utawala wake umejitolea kusambaza unga wa bei nafuu kwa Wakenya, pamoja na kutokomeza umaskini na njaa. Alisema licha ya kufika ofisini...
  9. Ex Spy

    Ongezeko la Magari yenye vimulimuli, Serikali imeamua kuacha ‘uhuni’ kuendelea?

    Hivi, tuna serikali ambayo ni responsive kwa wananchi kweli? Mbona dharau kwa wananchi zimezidi kiasi hiki? Ni uvunjifu wa Sheria ya Usalama Barabarani (2002), kifungu cha 19 B (1) na (2) na kifungu cha 54 (1), (2), (3), (4) na (5). 1) Nani ameruhusu watu hawa kujiwekea ving’ora au vimulimuli...
  10. Ex Spy

    Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

    United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March. The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April. This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
  11. Ex Spy

    Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi...
  12. Ex Spy

    Bukoba: Mwili wa Raia wa Uingereza aliyefariki kwenye ajali ya Precision Air wasafirishwa

    Mwili wa raia pekee wa Uingereza aliyefariki ndani ya ndege ya Precison Air, unasafirishwa leo kwa gari kuelekea Mwanza. Baadaye usiku wa leo, mwili huo wa Jonathan Rose, utasafirishwa kwa ndege kuelekea Dar es Salaam ambako mipango ya kuupeleka London, Uingereza inaendelea. Nimepata taarifa...
  13. Ex Spy

    Matangazo ya Safari Automotive na ‘mkakati unaotia shaka’: Serikali chukueni hatua

    Wengi mtakuwa mmekutana na matangazo ya Kampuni hii inayomtumia mwanamke/binti akichezea ‘rungu’ la gari lakini matangazo haya yanayosambaa katika mitandao ya kijamii yakiendelea kushika kasi. Si matangazo hayo tu, matangazo yao mengi yamekuwa na mwelekeo flani kwa kutumia mabinti (ambao huenda...
  14. Ex Spy

    Wahujumu Uchumi kurudisha fedha “CASH” ndio utaratibu wa Serikali hii?

    Wa kushoto kabisa ni Wakili wa Serikali (Senior State Attorney, Wankyo Simon) Baada ya furushi kukabidhiwa HOJA YANGU: Huu ndo utaratibu? Kwa mujibu wa sheria gani ya nchi?
  15. Ex Spy

    Pigo jingine kwa wasiojulikana: Waporomoshwa vyeo wote

    Wameondolewa rasmi kwenye nafasi za juu na kupelekwa wilayani kama Field Officers. Wamenyang’anywa magari ya kifahari ambayo yalikuwa yanawapa viburi mjini na sasa wanaugulia maumivu. Tutarajie mabadiliko chanya katika taasisi? Tuwape muda!
  16. Ex Spy

    Alijifanya mwamba, akasumbua bila kuguswa. Kafika kwenye 18 za watu! Kwisha habari yake

    Jamaa alifikia wakati wa kujiona ni zaidi ya kiumbe wa kawaida, alikuwa anabwabwaja tu huku akiwa anawezeshwa kwa njia zisizo halali. Vi-memo vya kipuuzi vilitumwa kwenye Wizara na Taasisi kadhaa za Umma kutaka ‘zimuunge mkono’ kitendo kilichosababisha awe ‘loaded’ na kujiona yeye kuwa ni...
  17. Ex Spy

    Kipilimba alistahili alichopata leo, wanaomwonea huruma wanasahau haya

    Magufuli ana mapungufu yake, lakini kwa Kipilimba uamuzi wake ni makini na umefanywa kwa wakati sahihi. Madai kuwa yupo under ‘House of Arrest’ yanawashangaza wengine ambao wanadhani hilo ni jambo la ajabu au kutaka aonewe huruma. Kwa wanaojua taasisi hizi zinafanyaje kazi watajua wazi kuwa...
  18. Ex Spy

    Kwao ni rahisi tu: Waonyeshe makandokando yao, watishie kesi zisizo na dhamana kisha...

    Kuhusu wale watatu: Hao 3 ni wa mwanzo tu, wengine wanafuata. Wametishwa wakatishika. Kumbukeni hata Bashiru alisema “Waliofuja mali za CCM wanahangaika” na wanahangaika kwelikweli. Wapo wazee wawili, wameandika barua za kuomba radhi. Msishangae nao wakaenda piga goti ‘kiutu uzima’ maana...
  19. Ex Spy

    Kusitishwa ghafla kwa ujenzi wa Bomba la Mafuta Hoima - Tanga: Wafanyakazi wahaha, Museveni na Magufuli kuteta

    Wafanyakazi Mradi Bomba la Mafuta wapigania haki zao Baada ya Kampuni kubwa ya mafuta ya TOTAL kuamua kusitisha shughuli za kutandaza bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania, wafanyakazi Watanzania wameanza kuhaha kupigania haki zao. Uamuzi wa kusitisha ghafla mradi huo...
Back
Top Bottom