Search results

  1. Ex Spy

    Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Basi anafaa sana. Chama kitakuwa kimepata mtu mzuri sana. Kwani umesahau Nchimbi kuhusishwa na kifo cha Ipyana Malecela?
  2. Ex Spy

    Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Sabaya mtu poa sana. Anafaa. Tumpigie Kampeni apitishwe yeye ili yapate kutimia yaliyoandikwa 😂
  3. Ex Spy

    Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  4. Ex Spy

    The BIT between Tanzania and Canada does not provide fair terms. Tanzania has to stand its ground and terminate it

    What are Bilateral investment treaties (BITs) These are agreements between two countries that aim to promote and protect foreign direct investment (FDI)of the investors. BITs typically include provisions on fair and equitable treatment, (FET), National Treatment (NT), Most Favoured Nation...
  5. Ex Spy

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi. === Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, imeridhia kwa kauli...
  6. Ex Spy

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ateuliwa kuongoza Baraza la Habari Tanzania (MCT)

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga ametangaza kuachia wadhifa huo ndani ya miezi mitatu kuanzia juzi Septemba 28, 2023 baada ya kudumu kwenye wadhifa huo kwa miaka 15. Kutokana na uamuzi huo, Bodi ya wakurugenzi wa MCT imemteua Ernest Sungura, kushika wadhifa...
  7. Ex Spy

    Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    This was November 8, 2022. Okay
  8. Ex Spy

    Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Kati ya nani na nani?
  9. Ex Spy

    Picha: Jakaya Kikwete akibusu mkono wa Papa Benedict

    Unamsumbua mama wa watu
  10. Ex Spy

    Rais Magufuli: Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa washwa

    Kabisa, mwendazake apumzike salama huko aliko.
  11. Ex Spy

    DOKEZO Organized Crime(?): Nani wapo nyuma ya Ramla Said Ahmed?

    Huyu ni Mmiliki wa Sharjah Trading (nitaeleza kwa undani kuhusu hii kampuni). Miaka michache iliyopita wakati wa utawala wa Magufuli alikamatwa, akafunguliwa kesi ya utakatishaji fedha akafanya plea bargaining, ikakubaliwa - akalipa faini na kuachiwa. Ramla alikamatwa juma lililopita, siku ya...
  12. Ex Spy

    Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Mimi nimefurahi kuona Saidi Yakubu akifanya maamuzi fasta.
  13. Ex Spy

    Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  14. Ex Spy

    Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge. Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
  15. Ex Spy

    Ruto: Unga wa Mahindi utashuka bei wiki ijayo

    Rais William Ruto ametangaza kuwa bei ya unga wa mahindi itashuka zaidi kuanzia wiki ijayo. Akizungumza katika Kaunti ya Meru leo Jumamosi, Rais Ruto alisema utawala wake umejitolea kusambaza unga wa bei nafuu kwa Wakenya, pamoja na kutokomeza umaskini na njaa. Alisema licha ya kufika ofisini...
  16. Ex Spy

    Ongezeko la Magari yenye vimulimuli, Serikali imeamua kuacha ‘uhuni’ kuendelea?

    Hivi, tuna serikali ambayo ni responsive kwa wananchi kweli? Mbona dharau kwa wananchi zimezidi kiasi hiki? Ni uvunjifu wa Sheria ya Usalama Barabarani (2002), kifungu cha 19 B (1) na (2) na kifungu cha 54 (1), (2), (3), (4) na (5). 1) Nani ameruhusu watu hawa kujiwekea ving’ora au vimulimuli...
Back
Top Bottom