Search results

  1. G

    Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

    Hakuna Mr Machache huko anayembwelambwela na mie nikajiongeze?? Maana hapo stress hakuna kabisa
  2. G

    Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

    Le mutuz akili yako ni ndogo kama punje ya ubuyu.
  3. G

    Sony Xperia U

    bei ya mwisho? serious buyer
  4. G

    SNURA AMEVURUGWA WACHA WEE SIJUWI NANI KAMVURUGA SNURa

    kanivuruga na mimi, ndo nini kuweka wanafunzi?? kashindwa kuchukua wauswazi wenzie??
  5. G

    Tanzania chimbuko la mapenzi ya kweli (true love)angalia kwa picha

    hawa wenzetu siku wakigeuza kibao, patachimbika hapo....... wapo wengi etiii....
  6. G

    Tume ya nini mbona majibu yako wazi?

    Najiuliza kwani nazo zimesajiriwa vipi........
  7. G

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Fungameza tuodie...... Ir hiyooo
  8. G

    Tamaa mbaya baba mchungaji

    acha unafiki wewe.......
  9. G

    Nataka kuanza kunywa pombe, ushauri please

    Usisahau inakurudisha hali ya utoto..... Kujinyea, kujikojolea, kutapika na hata kuchambishwa.....
  10. G

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kusamehewa deni ndo kukunyimwa mkopo mkopo mwingine
  11. G

    Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

    mimi namtakia kila la kheri huyu dada, naamini atatulia na kutengeneza familia nzuri na kuwa mama mzuri sana, asonge mbele asirudi nyuma aliko toka.
  12. G

    Wanatwangwana baada ya kumfumani......

    umekunywa ulansi wangu kulipa hutaki, leo ndo utanitambua nakwambia
  13. G

    HII ni hapahapa TANZANIA...

    igo ndo ndege gani kwa lugha yetu ya taifa? msaada jamani wengine hizi lugha bado ni gongana kwa kichwa
  14. G

    Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe amejaaliwa mapacha...

    jamani mna uhakika kama hawa watoto na wa yule mzee? ngoja mfanyiwe suprise na mwenye mali mtajuta!
  15. G

    PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

    ameanza? si nilisikia no more safaris?
  16. G

    My Letter to FP

    mbona kama kuna harufu ya wivu ndanimo?
  17. G

    Warning to sensitive Viewers - Unyama wa baadhi ya Wazazi

    nimeumi sana, huu ni unyama wa hali ya juu.
  18. G

    Kisamvu Cha Nazi

    sasa unaweza ukaongeza na nyama na nyanya chungu pia, unachemsha nyama pembeni then ikisha kwiva unaweka kwenye kisamvu chako alafu una unga kama kawaida kwa nazi weeeeeeeeeeeeeeeee! utakula mpaka ujute ama pia waweza kuweka nyanya chungu na kabla hujaweka nazi weka tui lako la karanga.
  19. G

    ur proffessional please!

    Beki teller, ukinihitaji sema
  20. G

    Hivi yule anayelia kwenye tangazo la "Wamekataaa" anazungumza nini?

    mi napenda pale mwanaume anaposema watakataje?
Back
Top Bottom