Search results

  1. M

    Udom yainyima raha udsm, je kulikua na sababu ya haya yote? Jibu ni ndio.

    Mmmmh' you are the best liar i have ever heard! Mi nafikiri sio sahihi kulinganisha UDOM na UDSM kwa sasa. UDOM ina umri wa miaka SABA sasa wakati UDSM ina miaka 52.Hivyo ukicompare products zao u won't be right at all! UDOM ILIVYO SASA HIVI HAUWEZI KULINGANISHA NA UDSM YA 1968. Kwa kigezo...
  2. M

    I'am Happy 2 be a member

    Karibu sana mkuu! Bila shaka wewe ni mtoto wa chuo.
  3. M

    Kufanya mapenzi na mke wa mtu au wake za watu kuna faida gani,,,,?

    Lengo langu cyo hilo mkuu,mi nataka nijue faida ili nijue namna ya kuchange mind ya huyu jamaa! Kitu kingine ni kwamba hivi kati ya jamaa na hawa wake za watu ni upande upi unapaswa kulaumiwa zaidi.
  4. M

    Kufanya mapenzi na mke wa mtu au wake za watu kuna faida gani,,,,?

    Aaaah' Nivea! Hajanilia wangu maana wife wangu ni black na yeye anapenda wanawake weupe tu. Ila nachukua precautions zote.
  5. M

    Kufanya mapenzi na mke wa mtu au wake za watu kuna faida gani,,,,?

    Wadau,nina rafiki yangu wa karibu sana na vile vile ni Supervisor wangu hapa ofcn, Huyu jamaa yupo vizuri kimaisha maana at the age of 29 tayari ana nyumba,gari 2 za kutembelea na miradi kama restaurants. Ila huyu jamaa bado hajaoa na hana mchumba ambaye labda unaweza kusema ni mtarajiwa...
  6. M

    Kila nikimnyonya naishia kutapika, kumuacha siwezi sijui nifanyeje!

    Mi nafikiri tuache kabisa mambo ya wazungu haya. Katika mila na desturi za kiafrika hakuna mambo ya kufanya mapenzi kwa kutumia midomo au vinywa. Midomo haijawekwa kwa ajili ya ngono jamani,,, MBONA HIKI KIZAZI KINAZIDI KUPOTEA,,,?
  7. M

    wa KUSOMA

    Huyu akijitahidi sana atapata Division Zero ya pointi 36.
  8. M

    Natafuta kazi Nna Diploma ya Utawala ktk serikali za mitaa..GPA yng ni 3.7 Upper second class.

    Mkuu omba kufundisha vyuo vinavyotoa certificates. Naamini utafundisha vitu kama communication skills,administration,management,research na vinginevyo! Umemaliza chuo gani mkuu?
  9. M

    Mshahara wa polisi

    Police ambaye ni Graduate anaanza kwa kulipwa TSH. 640100...!
  10. M

    Entitlements za WEO II na watumishi wengine

    Mkuu naomba unipe ufafanuzi kidogo hapo,kama basic salary ni 511,400 ni posho gani zingine ambazo WEO anapewa?
  11. M

    masista duu wanavyoboa

    Nikwambie kitu,,,? Ukifanya mapenzi kwa purukushani sana ndo unafaidi kuliko ukifanya kama wazungu(taratibu)
  12. M

    Mademu wa Tanga, HAKUNAGA

    Acheni utani hapa,hakuna demu anayetoka Tanga hata mmoja hapa! Wote ni mademu wa Mbeya tena watatu nawafahamu!
  13. M

    Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Una IQ ya kufa mtu,nipo tayari kukupa dada yangu!
  14. M

    Habari njema kwa wale wanaotaka kujiajiri wenyewe

    Ebu acheni kuchezea akili za watu bhana,,,, Wewe unapata hizo milion 20 kwa mwezi,,? Na kama ndiyo basi waambie ndugu zako wote wafanye hiyo biashara!
  15. M

    Ni sababu gani zinamfanya mtu atembee na dada/kaka yake wa damu?

    The Son,nini maana ya "Half brother Half sister" Sijakusoma Mdau!
  16. M

    Ni sababu gani zinamfanya mtu atembee na dada/kaka yake wa damu?

    Naona sasa bwana Ismail N.Juma umeanza kumsingizia bwana pombe,kama source of evils'
  17. M

    Ni sababu gani zinamfanya mtu atembee na dada/kaka yake wa damu?

    Sasa Suprise ngoja nikuchekeshe kidogo;kuna rafiki yangu wa karibu ni assistant lecturer anafundisha philosophy anasema eti watu wanaoshare baba haina shida kama wataduu ila mkishare mama ndo noma.
  18. M

    Ni sababu gani zinamfanya mtu atembee na dada/kaka yake wa damu?

    Kwani Bujibuji umewahi kukutana na tukio kama hili katika maisha yako yote?
  19. M

    Ni sababu gani zinamfanya mtu atembee na dada/kaka yake wa damu?

    Hellow wadau, Huku mtaani kwetu ucku wa kuamkia leo kumetokea kisa ambacho kimenipa msukumo wa kuomba nipate mawazo yenu! Kuna njemba mmoja imelazimika kukimbia na kwenda kusikojulikana baada ya kumpa mimba dada yake wa damu yaani baba mmoja ila mama tofauti,huyo jamaa ana miaka 30 na...
  20. M

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Kuna jarida nimewahi kulisoma linasema madhara yote yanayotokana na matumizi ya TIGO yanaweza kupunguzwa au kuondolewa kwa kutumia condoms aina ya cyto-condoms ambazo zimeanza kutengezwa huko MONGOLIA.
Back
Top Bottom