Hakuna kitu kama hicho cha kuziba labda muanze kungoa vile vyuma vya kuziba takataka mukauze, hii ndio mitaro inayotakiwa kujengwa ambayo inazibwa na sio ile inayojengwa na tanroad ikawa wazi na kusababisha ajali mbaya za barabarani
Kwani hii dini ya ukiristo imekaa kiuchiuchi? Mpaka waislamu wote wanaikashifu, huko mbeya nadhani hao viongozi wamekosa macho wanangalia kwa visigino vya miguu.
Hebu someni hapa nyinyi viongozi wa mkoa wa mbeya:
WAKRISTO WAACHE KUTULETEA POROJO ZAO ZA KANISANI,ukristo ni dini ya...
Kwanini magazeti yanaiyumbisha nchi hii? Nani anayasimamia? Wala haitoshi kufungiwa tuu au kuhojiwa kwa viongozi wake. Haya magazeti na vyombo vya habari ndio hanzo cha maafa nchi hii?
Tunayashuhudia mengi wanayoaandika yaliyokua si ya ukweli lakini hakuna hatua za kukidhi zinazochukuliwa...
Tunajua mipango yote iyo inapangwa na mchimbi na magaidi wenzake ya kuihujumu Zanzibar, huyu anatumia uongozi wake kuwaamrisha askari wake wafanye matukio ya ajabu zanzibar bila ya kujali athari zake.
Tunampa hongera Maalim seif na Wazanzibar wote kwa kulitambua hilo. Tunategemea mengi zaidi...
Mfululizo wa hujuma nani anahusika? Au ni mipango inayotoka upnde wa Tanganyika kuichafua na kuidhoofisha Zanzibar kudai Zanzibar huru?
Kwa ukweli hakuna Mzanzibar halisi anaeweza kufanya mbinu hizi chafu na za aibu bila ya kupitia Tanganyika, Tumeshudia mbinu nyingi kama hizi ilipokuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.