Hivi mpaka una download app ya TikTok, unakua una dhumuni gani au unatafuta nini huko.
Na kama walivyosema Wengine unachoki tafuta au kukifwatilia kwenye hii mitandao ndicho utakacho pewa.
Kama unatafuta/fwatilia Mambo ya hovyo..... Ndiyo feed ya itajaa Mambo hayo hayo
Kiufupi maisha ya Dar kama unakaa mbali na unapofanyia kazi, ni bora ufanye mpango uhamie mkoani...
Maana maisha ya mkoani ni mepesi hayana hekaheka za kupoteza mda
Unapata mda kupumzika na kufanya Mambo mengi ya kimaendeleo
ID My all time favourate channel, Kuna kipindi nilikua naangalia mfululizo mpaka watu wa karibu wananiuliza mbona umekaa kimachale mda wote.
Maana kupitia hizo documentaries inakufanya umwone Binadam sio mtu wa kumwamini.
Channel no. 171
Kwa wanaopendwa true crime documentaries,
Yaani nimehangaika kucheki kila Mahali labda Kuna sehem ume flip wapi. Nime uliza kwa majirani kama mchawi Hola....
Tanesco em turudishieni huo umeme kazi zinalala huku dah.
Hayo maendeleo yanakujaje kwa style hii aisee
Ushoga ulianza tangu enzi za Sodoma na Gomora, miaka na miaka, Sasa hivi dunia imekua kama kijiji, yaani dunia ipo kiganjani mwako ni wewe na Bando lako, ndio maana unaona kama vile Sasa hivi vitu viko exposed na vinasambaa kwa kasi, na vinapewa support na mataifa makubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.