Search results

  1. S

    Rushwa Bungeni: Kamati ya bunge ya Nishati na Madini yavunjwa

    Ni aibu kubwa kwa greatthinker kuhoji maswali ya ajabu. Hv mnaouliza kamati za ZZK hamjui kuwa upinzani wanaongoza oversight pekee na MH. ZZK ana POAC. Nishati na madini ni Selemani Zedi wa CCM
  2. S

    Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

    Jamani, kibonde nae ni GAMBA cloud fm, pia uwezo wake wa kutafakari mambo ni mdogo sana. Pia kunafununu anahitaji ukuu wa wilaya, kwani siana kadi ya nyinyiem?
  3. S

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Membe ataikoa ccm kama hatakwenda cdm, lkn nadhani anakosea kutaja wanaochafua, watanzania wanahtaji majina ya wezi wa fedha za Rada. Hebu nao wataje. Lkn member wa jf mmegundua membe ana bifu na lowasa, mengi na wote wenye watumiao vyombo vya habari kuhari mfumo wa uongozi? Karibu CDM Membe
  4. S

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Ndugu nadhani cc wapambanaji wote hakika ni jukumu letu kupiga magoti na kumwombea Dr. Ulimboka Mungu amponye maumivu, majeraha na daima serikali inahusika na hl. Pia niombe madaktari wote waungane na wagome kabisa hadi 1: madai yao yatakapotekelezwa, 2: walio mfanyia unyama Dr. Ulimboka...
Back
Top Bottom