Search results

  1. Majita

    Kesi ya uchaguzi jimbo la Nyamagana: Mabula ashinda kesi dhidi ya Wenje

    Aliyekuwa mgombea Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Ezekiel Wenje ameshindwa katika kesi aliyoifungua kupinga ushindi wa Stanslaus Mabula wa CCM. ================= Mbunge wa jimbo la Nyamagama, jijini Mwanza pichani akifurahia mara baada ya kutangazwa mshindi wa jimbo hilo na Mahakama kuu ya...
  2. Majita

    Msaada wa kiafya

    Ndugu wana bodi nina maswali mawili naomba mnisaidie, 1.Nililala na msichana ikiwa ni siku ya 7 baada ya kuanza mzunguko wake na akapata ujauzito pia msicha huyo huyo nililala nae iliwa ni siku ya 18 baada ya kuanza mzunguko wake pia akapata ujauzito. Je hii inatokana na nini au ndo nilikuwa...
  3. Majita

    Prof UDSM hoi kwa "kidhungu"

    Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
  4. Majita

    Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

    Ndg zangu waungwana wa mitaa ya Ujamaa,Azimio,Jitegemee Mapinduzi/Muhimbili wazee wa zeal nk,habarini za jamvini humu.Samahani tuna mpango wa kufanya sherehe ya waliowahi kuwa wanafunzi wa Mpwapwa Sec. Tutakuwa na mengi ya kuongea ikiwa ni pamoja na kujuana,kuwa na umoja wa kushauliana mambo...
  5. Majita

    Nani aliwaloga wajita??

    Ni kama utani fulani hivi ninapoandika habari hii.Lakini baada ya fujo na vurugu za jana kwenye uchaguzi wa UVCCMAGAMBA nimefualitia kwa karibu sababu ya kuanza kwa makonde ya vijana hao.Wachangiaji wengi wanaonyesha "ulalafu" wa hawa wajita katika mkoa wao.Wachangiaji Wako sawasawa kabisa.Mie...
  6. Majita

    Nyimbo za abba

    MOD na ndg zangu Wakubwa habari za kwenu? Tafadhali sana naombeni mniwekee nyimbo za ABBA group zote hasa zile zilizokuwa zinatamba sana enzi zile.Kwa kweli natamani sana kuzisikiliza.Aidha kama zilishawekwa hapa naombeni mnisaidie jinsi ya kuzipata ili nizichukua mara moja. Majita
  7. Majita

    Uchaguzi UVCCM mkoa MWANZA

    Jana kulikuwa na Uchaguzi wa UVCCM mkoa wa mwanza.Nani na nani kashinda katika nafasi ipi.Wenye taarifa hebu mtujuze
  8. Majita

    Tujikumbushe Mpwapwa Sec School

    Hapa naamini sitopata mtu hata mmoja.Nikimpata naamini mvua ya mawe inaweza kunyesha hapa JF. Haya Tuanze na Mazengo,Pima,Meeen,Gaguti,Soap,Mugube,kusenha na Mtaalamu wa kilimo Prosefor Mwasamila na Dr Mama Kipangula.Msimusahau BB aka Babiligi wa fomu wani weyi.
  9. Majita

    Msaada wa kupata shule na maelekezo

    Ndugu wanaJF wenzangu,habari zenu. Samahani naomba mnisaidie maelezo ama jinsi ya kupata shule A level Tanzania.Maelezo ni kuwa nina mdogo wangu yuko Mwanza ambae namsomesha.Matokeo yake ya O level hayakuwa mazuri,so alikosa credits 3 ambazo ni C tatu kwa ajili ya kuendelea na masomo yake ya A...
Back
Top Bottom