Search results

  1. Majita

    Kuna haja ya kumuomba Hayati Dkt. Magufuli msamaha; kama taifa kuna sehemu tumekosea sana

    Tumuombee mwendazake msamaha kwa madhambi yake
  2. Majita

    Mzee Mwanakijiji umeguswa na watu kuzuia kutoa damu au ni kutokana na kufungiwa kwa Gazeti la Mwanahalisi?

    Mwanakijiji Wa 2008 2009 sio huyu Wa Leo. kapoteza mvuto na sijui kama nae anaongozwa na Tumbo.hana busara tena labda akili umeanza Ku retardate kwa ajili ya umri
  3. Majita

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Sikuwahi kufikiri kuwa Nyani Ngabu ana akili fupi hivi
  4. Majita

    Wana JF tuliojiunga 2007 tukutane hapa kwa salamu

    nadunda Na nachat mutedly
  5. Majita

    Chagonja astaafu polisi

    yuko mwanza busweru choka mbaya
  6. Majita

    Rais Dkt. John Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta

    sio yeye.manake sijaona tusi humo. huyu wa kwetu ni mtaalamu wa kutukama na kusema ukweli.najua yeye ataandika "Huyu Laila nae mpumbavu.nampa mbinu afu yeye hazitumii.bora limeshindwa. hongera Uhuru"
  7. Majita

    Tundu Lisu na Chadema, mtuwekee hapa orodha ya viongozi wenu na kanda wanazotoka!

    twambie wewe unamjua nani ambae ni kabila moja. mbona lisu kawataja tena sio kabla Bali ukoo mmoja
  8. Majita

    Operation ng'oa Magufuli inakuja

    uko sawa kabisa
  9. Majita

    Njooni huku Kusini tulime

    kusini ya wapi? South America au South Africa?
  10. Majita

    Magufuli Mapumzikoni Chato

    mleta taarifa, huyu ni Mtoto au mjukuu wake?
  11. Majita

    Kwa ngazi ya IGP kazi nyingine anayostahili ni ipi??

    Ukitoka IGP inaingia IGQ
  12. Majita

    Tundu Lissu kumtetea Wema Sepetu

    vipi kama ingesomeka Tundu Lisu akataa kumtetea Wema Kama mteja kwy kesi inayomkabiri. si watu mngetokwa mapovu level ya Omo
  13. Majita

    Hakuna sehemu Makonda amedharau au kulikashifu bunge hizi ni chuki lakini watashindwa

    Zamani tuliamini wahaya ni watu makini sana.ila siku hizi tofauti saaana.huyu mleta mada sijui chotara Wa wapi? sijui katerero sijui mto ngono???
  14. Majita

    Kwanini waliokipigia debe chama wanaguswa Moja kwa Moja biashara ya madawa? walijuwa watalindwa?

    Watanzania kwa kupenda sifa za kijinga? Sasa wewe mtu atuhumiwe kumdinya mtu afu wewe ukurupuke eti "KWA SISI TUNAOJUA" as if kila wakienda kudinyana ww unaenda kuwashikia Miguu. wabongo bana.
Back
Top Bottom