Hebu tujuze TheRedKop maana hawa ndiyo wawakilishi wetu kama wanafanya uchafu kwenye maclub na dada zetu inabidi tuwaanike hadharani na si kuwaficha. Tuletee picha zake kama unazo kweli
Ana mashaka na huyo dada mwenye tumbo atamchukulia mume..hachezi mbali na wa2 wakubwa wakimuomba 2 anawapa ili apate cheo..bahati mbaya wakina mama wa CCM hawampendi juu ya tabia yake ya kuchukua waume za wa2..kila akijaribu anapigwa chini cheo hapati. Uliza kilichomtokea na mama Msabaha
Hayaolewa..na ndiyo maana anatangaza biashara yake kwa watu maarufu. Leo yuko na huyu umaarufu ukiisha anatafuta mwingine..miaka yote anahangaika na watu maarufu tu wengi wenye wake zao.
Kumbe CHADEMA ILIPATA MSAADA WA SHYROSE WAKATI WA UCHAGUZI. Ndiyo maana yuko karibu sana na CHADEMA!
" Idd azzan ambae ni mbunge aliesimamishwa miezi 18 kushiriki shughuli za chama baada ya kushindwa kuthibitisha kauli yake nae kaibuka kumlipua shyrose bhanji kuwa katika uchaguzi mkuu...
Huyu Idd Azzan atakuwa aliongea jambo ambalo analifahamu juu ya ufisadi, hawezi kuropoka tu..lakini kwa kuwa ni mwoga na nahisi anaogopa kupoteza madaraka yake amekubali yaishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.