Brother James, yaonyesha ww ni mtu mzuri sana kwenye masuala ya taarifa na uandisha.....nimependa majibu yako yoote, kama vipi nitaku-PM bro. Nimeipenda hii taarifa ya scholarships za BOT nahisi dogo ana sifa zote za kuombea, nitamshauri
Brother James, mimi pia nimewahi kukutana na vitu kama hivyo kwa hawa jamaa, hawapo serious kabisaa. Sisi tulifanyia pale Elimu ya Watu Wazima, hakuna hata mmoja wetu aliyekaguliwa vyeti. Nikajiuliza kuwa kumbe ajira zao zinatosha kabisa kuombe photocopies tu.....tunataka wabadilike kwa kweli...
Mbeya na Moshi ni kweli wamejitahidi sana. Ila statistics zinaonyesha kuwa kwa asili eneo la moshi limeamka kutokana na uwepo wa wakoloni enzi hizooo, yaani walisaidia sana kujenga mashule, huduma za kijamii n.k kwa wakazi wa eneo husika hivyo basi imepelekea sana maendeleo yao yaonekane kwa...
Nadhani OBAMA amefanya kama wanavyofanya wapinzani(CHADEMA) nchini. ameonyesha kuwa yeye si mtu wa kutumia pesa ktk kampeni hata kama ndiye kiongozi aliyemadarakani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.