Search results

  1. C

    Nani aliyewaroga wabunge wa CCM kama huyu mheshimiwa?

    Kiufupi mimi nashangaa kabisa badala ya wabunge hawa kuchangia maswala mhimu ya bajeti wao kazi yao ni kuwapinga tu wapinzani hatakama wanahoja za msingi kwa Taifa. Si shangai sana wao kufanya hivyo kwani hawana hoja za msingi za kuchangia badala yake wanashabikia upuuzi na ujinga ili mradi tu...
  2. C

    Kwa mtihani huu bajeti itapita bila kupingwa.

    Kwa maelezo ya Mbunge wa CDM Mh. Mnyika jana baada ya kutolewa bungeni kwa kumuita Rais ni dhaifu akiongea na waandishi wa wahabari ndipo nilipogundua kwamba wabunge wa CCM hawana ujanja wakupinga bajeti iliyowasilishwa bungeni kwani kufanya hivyo kutawagalimu wao. Hatawajifanye wanajua kuongea...
  3. C

    Je kuongeza kodi kwa wafanyakazi (PAYE) kutamkwamua mfanyakzi au ndiyo maumivu kwao?

    Ukisikia kujipendekeze ndio huko, kwakweli wafanyakazi mlio mpigia kura mlijipendekeza tu wakati yeye hataki urafiki na nyinyi sasa anawaonyeshea laivu kuwa siwataki mnanitakia nini.
  4. C

    Tucta tunataka majibu,bajeti mmeisikia

    Siku ya wafanyakazi duniani aliyofanyika Tanga kitaifa madai mojawapo ya wafanyakazi kwa serikali ilikuwa ni kupunguziwa kodi na Rais katika hotuba yake aliahidi kwamba serikali itapunguza kodi. Lakina jana nilipokuwa nasikiliza bajeti ya serikali 2012/2013 nilishaanga kusikia kwamba kodi...
  5. C

    CHADEMA hakitoingia ikulu Cuf ikiwa hai

    Huyu jamaa nahisi nayeye ni kibaraka tu, Tanzania ya sasa watu hawalopoki tu bali wanatoa kila kitu wazi yeye kama anaushahidi aweke wazi watu wajue ukweli. Kingine nadhani huyu jamaa hajui nini maana ya siri, siri huwa ni ya mtu 1 tu lakini watu wawili, watatu na kuendelea wakishafahama hilo...
  6. C

    Membe Alikoroga CCM, kauli yake ya CHADEMA kushika dola yamponza

    Ni kweli kabisa niliwacheki wakihutubia Jagwani mafanikio wanoyosema ni aibu kusema kwa muda wa miaka miaka 50, mfano wanasema wamejenga mashule mengi lakini hatahawajui kuwa ndio wameongeza ujinga mkubwa kwani wanafunzi wengi wanamaliza shule za msingi hawajui kusoma na kuandika. Mafanikio...
Back
Top Bottom