Search results

  1. Marga

    Rafiki yangu katelekezwa pamoja na mtoto mdogo

    sio kila wanaooana mambo huwanyookea....wapo waliopo ndani ya ndoa na ni majanga afadhali ya waliopo huko nje ya ndoa
  2. Marga

    Rafiki yangu katelekezwa pamoja na mtoto mdogo

    sioni sababu ya kushurutishana kulea mtoto mpaka kupelekana ustawi wa jamii mwanaume kama hataki kumlea mwanae mtasumbuana tuu hata iweje.............mwanamke chakarika tafuta kipato lea mwanao achana na huyo nyumbu fight upate maisha yanayoeleweka kwako na kwa mwanao, maisha haya ya tanzania...
  3. Marga

    Wazazi hawataki nioe Mchaga

    nadhani bado hujui kama wataka kuoa au laa.......ukiwa tayari wala hutokuja na swali kama hili trust me
  4. Marga

    Wanawake wa kichaga mkoje?

    oeni wanawake wa makabila mengine acheni kelele,kwani wanawake wa kichagga wanawashikia panga kua ni lazima muwaoe au nyie tuu na kujishaua kwenu kua mmependa:confused2::confused2:
  5. Marga

    Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

    Wapo wasiojua kusamehe...hasa wanawake wao hua hawasamehi bali hupotezea tuu. Wanaume nyie hua hamsamehi usaliti ndio maana mnawafukuza wenzi wenu......wao wanawapotezea tuu kwa faida ya watoto wenu
  6. Marga

    Miezi minne toka afunge ndoa, baba mkwe kaja kuishi nae

    hapo sasa ni kuitafuta laana kabisaaa
  7. Marga

    Leo ndio siku ya kwanza kusalitiwa na nimpendae

    mpaka saa saba awe amerudi.......halafu akarudi kwenye saa 12!!!!!kwani apo palikua kwake au kwa wazazi wake???ifike mahali muache ujinga wa kuishi na wapenzi wenu,,,,unaanzaje kuishi na mpenzi badala ya mke/mume kwa neno la faraja ni kwamba umefanya vyema wote mmepata fundisho
  8. Marga

    Natamani kujua kwanini alinificha jambo hili

    Nimetafuta sehemu ya kulike hii comment yako nimekosaa,,elewa nime i like
  9. Marga

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Majina ya uhamisho yanatolewa lini wadau?
  10. Marga

    Msaada tafadhali

    Mwanangu kafuta channel zote kwa kubonyeza factory default,natumia receiver ya media com MFT-930+ ninaomba mnielekeze namna ya kuzirudisha upya izo channel.
  11. Marga

    Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

    Kama wakusepa utasepa tuu ata watu wasipofunguka hapa kwa iyo we jiongeze tuu
  12. Marga

    Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

    Nani kakutuma uwajaribu wachaga wote jamani kama co upunguani huo?na kama hujawajaribu wote kwanini useme eti wachaga wote?!c uende kwa wazaramo,wahaya na wengineo makibila chungu nzima tanzania hii alaa!!ANGALIZO ukiachana na mpenz wa kwanza halaf wa pili na watatu tena kwa tatzo moja jitizame...
  13. Marga

    Anadai ananipenda nimpe muda Aachane. Na wazamani ila hajamucha mpaka leo

    Sasa kama unamsubiri amuache mwenzio huon hako ndio katabia kake atajakuacha nawe pia ili aende kwa mwingine??? Jaribu kushirikisha ubongo shosti moydn mdanganyifu jaman:banghead:
  14. Marga

    MWANAUME kumnunulia mpenzi wake UNDERWEAR::alafu ANAEMVUA mwingine::INAUMAJE?

    Ni mgawanyo tuu wa madaraka hakuna haja ya kuumia.
  15. Marga

    Ana nia gani na mimi?

    Karibu Bujibuji
  16. Marga

    Ana nia gani na mimi?

    Tafadhali usijue jamani maisha ni matamu we shauri yako ukifa ce twaendelea kuenjoy.......
  17. Marga

    unataka UPENDWE sasa UMEPENDWA::kosa ushajua kuwa wewe wapendwa::KWA nini UMTESE mwenzio?

    Kosa la mwanamke mmoja adhabu unatoa kwa kila mwanamke thats not fair.
  18. Marga

    Ushauri wenu waitajika hapa ndugu zangu

    Kuna shosti yangu wakaribu kakumbwa na jambo apa....miaka kama mitano iliyopita alikua na mpenzi ila kwa sababu kadha wa kadha wakatengena baada ya muda akapata mpenzi mwingine na kama ilivyokua jamaa akamtelekeza yeye pamoja na mtoto.Sasa kakutana na mpenzi wake wa enzi naye ataka warudiane pia...
  19. Marga

    Wadada semeni ukweli, mnampenda nani kati ya hawa wanaume?

    Hahahahahaha wala ata co mrefu kias icho jamani
Back
Top Bottom