Search results

  1. Imam Yussuf Shamsi

    Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    Ni kweli wakristo mmekuwa mkifanya juhudi sana kutafuta elimu ya maarifa, lakini kwa upande wa elimu akhera bado hamjaona njia, ni zero na ndo maana mnatumia nyadhifa zenu mlizokabidhiwa serikalini kufanya ufisadi, na kuinyonya nchi.
  2. Imam Yussuf Shamsi

    Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    Taja fani yeyote ambayo hakuna muislam mwenye fani hiyo
  3. Imam Yussuf Shamsi

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Unaposema uchochezi unamaanisha nini? Radio imani imefanya uchochezi gani?
  4. Imam Yussuf Shamsi

    Werema chupuchupu kutuingiza kwenye mzozo wa kidini

    Mahkama ya kadhi Kenya ,Uganda Zanzibar ipo Tanganyika inashindikana je? Au hizi nchi nilizozitaja zinaongozwa kiislam? Selikari itambue na itoe uwezo wa kisheria kuwapo kwa mahakama hii, kuamua baadhi tu ya mambo yanayowahusu waislam na si kwa watu wengine. Uislam una sheria na taratibu zake...
  5. Imam Yussuf Shamsi

    Serikali ya Kikwete hoi! Yaelemewa...

    Unajua maana ya propaganda? Wale jamaa ma radio imani achana nao hakuna mkristo anaweza kujibu hoja zao, wanaongea na wanakupa references, ndiyo maana mnabaki kulalamika eti ni wachochezi jibuni hoja zao basi.
  6. Imam Yussuf Shamsi

    SERIKALI yawazuia wakristo kutoa tamko juu ya Kuchinja

    Sikumbuki kama nyinyi mnaojiita wakristo mna masharti ya kuchinja mnachohitaji ni nyama tu, mnataka kuanza kuleta fujo, hayo si madai ya msingi. Nadhani wametumwa hawa, muda wote hamkuliona hili, acheni kujikanyaga, rudini kwa Muhammad, (saw) ndiyo njia ya kufikia uzima wa milele.
  7. Imam Yussuf Shamsi

    NMB 'pesa fasta' kulikoni?

    Ina maana toka juzi ATM hazijatoa pesa? Mimi naona si tatizo la system bali matatizo mengine tu ya kiufundi. Hizi huduma zinazotegemea stm imekuwa usumbufu hapa Tnz na wahudumu wake wamekuwa waongo, wakitoa majibu ya ovyoovyo kabiza.
  8. Imam Yussuf Shamsi

    Wishing you Merry Christmas and Happy Holidays

    Hii iko kiimani zaidi, kuna ushahidi wowote ktk maandiko? Au mnafuata mkumbo tu?
  9. Imam Yussuf Shamsi

    Zanzibar inafaidikaje na pesa za visa?

    Usitegemee kupata majibu, hiyo ndiyo hulka ya machogo, lazima watakwepa hoja
  10. Imam Yussuf Shamsi

    Mtoto aliyekojolea Kurani hana kesi ya kujibu

    Na vipi mungu anapotundikwa msalabani? Akashindwa kujisaidia?
  11. Imam Yussuf Shamsi

    Hivi, nani anatakiwa kuchinja nyama?

    Hilo si suala la mashehe bali kila muislam anaejua taratibu za kuchinja anaweza kuchinja. Mnyama yoyote anataka kuchinjwa lazima jina la M/MUNGU (ALLAH) litamkwe na aelekezwe Makka (Kibla) pamoja na mambo mengine. Kama dini nyengine hazizingatii hayo isiwe tabu, tueleweshwe tu tunapofika kwenye...
  12. Imam Yussuf Shamsi

    Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

    Mungu anaehitaji kupumzika ni feki
  13. Imam Yussuf Shamsi

    Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

    Mungu anaehitaji kupumzika ni feki
  14. Imam Yussuf Shamsi

    Msako wa uamsho..... Sasa mpaka facebook

    Tatizo lako nini? Au ndo matokdo ya kufundishwa chuki makanisani dhidi ya waislam?
  15. Imam Yussuf Shamsi

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    Watu ndo wanaondoka madarakani hao, wanaondoka na vyao.
  16. Imam Yussuf Shamsi

    Aibu taarifa ya habari tbc

    Hivi ukiacha Dstv king'amuzi kipi ni bora?
Back
Top Bottom