Search results

  1. O

    Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0. Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma
  2. O

    NHIF na manyanyaso kwa wagonjwa

    Mgonjwa anaenda hospitali. Anaambiwa mtandao haufanyi kazi. Anakaa masaa, wagonjwa wa cash wanahudumiwa. Unaweza kufiwa na mgonjwa wako reception kusubiri mtandao.
  3. O

    Kujengea tanki la maji juu vs kufunga pressure pump. Tubadilishane mawazo

    Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine hujengea tanki juuu ambapo maji hupandishwa kutoka chanzo husika hadi kwenye tanki ndipo yashuke kwa...
  4. O

    Uchaguzi 2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

    Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya? Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni kuhadaa dunia.
  5. O

    Vijana Kufunga ndoa wakiwa Vyuoni, wako tayari kukabili majukumu?

    Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana waliopo vyuoni kuishi kindoa na wenzi wao wawapo vyuoni. Wengine huishi moja kwa moja kama mke na mume na hufunga ndoa kabisa wakiwa chuoni. Wengine huishi na wenzi wao kijanja janja tu kama wapenzi lakini hakuna ndoa seriously, maana baada ya kumaliza chuo...
  6. O

    Ya Dr. Mwele Malecela na Prof. Mussa Assad

    Ni dhahiri sakata la CAG Prof. Mussa Assad na bunge ni kama vile moto ambao hautaki kuzimika, na bado ni sintofahamu hatma yake nani ataibuka kidedea. nawaza kwa sauti kama linaweza kutokea kama kilichotokea kwa Dr. Mwele Malechela. Serikali ilimpiga fitna weeee kisa kasema ukweli, hatima...
  7. O

    Wanaume design hii ndo maana Trump anatukana waafrika

    Una mke. Amejifungua kwa operation. Mtoto ndo anakaribia kujaza mwaka tuu, hata hajaweza kusimama atembee, umeshamjaza mkeo mimba tena. Hizi dushe kila wakati zinawaza kuchomeka tuu. Pumbaf. Alafu mtu mwenyewe maisha ya kubangaiza shida tuu. Hivi mtu anakuja anaomba msaada nikimnyima atasema...
  8. O

    Tray za kupandia miche ya mboga mboga

    Jamani habari humu jukwaani? Naulizia kuna tray niliziona mahali, ziko kama tray za mayai lakini zenyewe ni maalum kwa ajili ya kupandia mbegu za mboga mboga kama vile nyanya, hoho, vitunguu etc. Mbegu zinakua hapo na mice ikifikia umri wa kufanya transplanting basi unahamishia shambani kwako...
  9. O

    Kuroiler fertilized eggs for incubation

    Wadau habari? Nimefuatilia sana mitandaoni kuhusu hawa kuku aina ya Kuroiler, nimetokea kuwapenda kwa jinsi wanavyosifiwa ila sina uzoefu nao. Sasa kwenye pita pita zangu za kutaka kujua wapi nitapata hii mbegu nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuna huyu mdau anaitwa Kakama EK (nimemwona...
  10. O

    Naombeni ushauri wa haraka, nimevurugwa mie

    Jamani baada ya kuona maisha ya mshahara ni majanga tuu, nikaamua kujiongeza nifanye ujasiriamali. Nikapata wazo, na hili wazo nimelipata baada ya kusoma sana post za hapa JF kuhusu ujasiriamali na biashara. It goes like this; Nilinunua kiwanja cha kujenga (ni kubwa kiasi), naweza kujenga...
  11. O

    Je, kuna ukweli gani kuhusu hii nadharia?

    Nilishawahi kuisoma mahali (japo nimesahau ni wapi, huenda hata hapa JF), na pia nimeshawahi kuambiwa na watu wazima kuwa ukiwa unaenda kwa shughuli fulani (huenda ni biashara fulani, au shughuli nyingine) kuwa usifanye sex asubuhi ya siku hiyo. Huenda kuna mambo mbali mbali ambayo mtu hupewa...
  12. O

    Naomba ushauri kuhusu kilimo, nilime matikiti au nyanya?

    Iko hivi, nimejipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji msimu wa kiangazi. Nina shamba ekari 4. Natarajia kiangazi kikianza nichimbe maji then nifunge pampu. Nitakuwa napandisha maji kwa generator kwenda kwenye simtank alafu namwagilia kwa mipira (drip irrigation). Sasa kuna mambo yananichanganya...
  13. O

    Mwakalebela leo katuma sms kwa kila mwana Iringa, alipataje namba zetu?

    Leo nilikuwa napita zangu mitaa ya Sokoni na Miyomboni hapa Iringa katika kununua mahitaji yangu. Kila nilipopita nikawa nasikia watu wanaongea habari za Mwakalebela. Dogo mmoja mshona viatu akasikika akisema, aaah, yeye anatutumia message tuu, angekuwa mjanja angerusha hata buku kumi kumi...
  14. O

    Wanawake mnajua ajali ya ndoa inavyotokea?

    Hebu fikiria dereva anayeendesha gari, pale kwenye dashboard kuna mishale mitatu muhimu ambayo dereva lazima aviangalie tena kwa umakini anapoendesha gari. Wa kwanza unaonyesha speed, wa pili rotation per meter na mwingine heating system. Mishale yote, mwishoni kuna sehemu ina alama nyekundu, na...
  15. O

    Generator kwa ajili ya kuvuta maji

    Wakuu, nipo kwenye mchakato wa kuchimba kisima cha maji ambapo sehemu husika hakuna umeme. Nataka mara uchimbaji utakapokamilika ninunue pampu itakayonisaidia kuvuta maji kutoka kisimani na kupandisha kwenye simtank, kwa ajili ya irrigation. Mwenye uelewa wa bei na aina zake atiririke ili...
  16. O

    Kilimo cha mbogamboga: Kwa hii business plan nitatokaje?

    Iko hivi, Nataka nijiingize katika kilimo cha mboga mboga especially nyanya, pilipili hoho, vitunguu na bilinganya. shamba iko ekari 10 tayari,na nimefanya survey tayari. Eneo lilipo hilo shamba hakuna mto japo utafiti unaonyesha kuwa eneo hilo maji yako karibu sana nikiamua kuchimba kisima...
  17. O

    Msaada: Tarakimu hizi zinasomekaje?

    1,100,000,000,000,000/- BILA SHAKA hiyo 1 ya kwanza ikiondolewa inasomeka trilioni mia moja, sasa baada ya trilioni inafuata nini? Nilikuwa nafanya conversion fulani nimejikuta nakwama
  18. O

    Multiplier effect za mulugoism hizi hapa

    kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe, jisomee mwenyewe hiyo attachment uone madudu. Huyo ni mwanafunzi wa chuo kikuu kaandika paper hapo na anataka apewe maksi. Kumbe cuba iko africa.
  19. O

    Baadhi ya wanawake wana maajabu yao

    Wewe mwanamke hujaolewa, unakuwa na urafiki na mwanaumee aliyeoa. Baadaye urafiki unakolea na kufikia hatua ya kupiga mechi. Alafu unanogewa na mechi, unaanza kuuliza maswali nonsense, mara uulize kwa nini umewahi kuoa, ungechelewa kidogo ungenioa, ungekuwa hujaoa ningekomaa hadi unioe. Sasa...
Back
Top Bottom