Search results

  1. ALAWY

    Naonekana sina faida ndani ya CHADEMA, nimeng'oka rasmi kuanzia leo

    kabla haijapatikna watakuita msaliti,umetumwa na CCM,msaliti,gaidi na majina yote mabaya ya kisiasa..chukua maamuzi magumu kama ya sixgates
  2. ALAWY

    Nimekuja kumjibu Zitto niendelee na majukumu mengine

    soma hapa tafadhali,na sijui umetumwa na nani kumjibu? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/361076-tuache-kujadili-watu-tujadili-ni-sifa-zipi-kiongozi-awe-nazo.html
  3. ALAWY

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    kuna mtu anatafutwa hapa,baada ya Mwigamba mtu mzito zaidi yake anaenda kufukuzwa muda si mrefu.
  4. ALAWY

    Kwanini si muumini wa Serikali Tatu...

    mwanakijiji sasa nadhani unapotaka kutupeleka siko kabisaa Mwanasheria mkuu Zanzibar: Kutokuwepo serikali ya Tanganyika ndio kero kuu ya Muungano! Awashangaa wanaotaka Zanzibar iendelee kuwa manispaa Asema kutokuwepo Serikali ya Tanganyika ndio kero Kuu ya Muungano Awasuta wanaotaka...
  5. ALAWY

    Tuhuma nzito kwa CHADEMA: Barua yao ya kuhujumu nchi yanaswa!

    hapo kwenye red......ina maana wanataka nchi kwa kupandikiza chuki za wazi kwa wananchi? kama ndivyo wameishiwa..
  6. ALAWY

    JK, Shein waula

    shubiri na quinin ni chungu sana lakini huwa zinamezwa kwa malengo ya uponyaji....hii hata mie nakubali...aendelee tu
  7. ALAWY

    Hili la Mbunge Mnyaa kuingilia suala la gesi limekaaje?

    nadhani pia unapaswa kujiuliza akina zitto,mbowe,slaa anzi zake bungeni ,na wabunge woooote wa CHALEMA wanapokuwa wanapeleka mijadala ya kitaifa bungeni bila kubagua majimbo walipotoka na ubara uvisiwani huwa inakaaje?? au akilia tausi anaimba vizuri na akilia bundi uchuro? au ni kwa sababu ni...
  8. ALAWY

    Natafuta mashine ya vipimo vya afya(Magnetic Quantum Analyzer)

    nitafute ndugu kwani hapa ushaipata, dralawy@rocketmail.com
  9. ALAWY

    Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

    kishazeeka huyo,na move zake zishazeeka
  10. ALAWY

    Jussa na Seif mnawachelewesha Wazanzibari kuwa "huru kamili"!

    kumbe na wewendo waleale walokunyuji wa mgonjwa?
  11. ALAWY

    CHADEMA Haina Itikadi Kama Chama!

    ndo nini?
  12. ALAWY

    Wanaohama CCM ni vinyago - NAPE

    Nape.unapaswa pia kutuambia waliobaki CCM ni akina nani,hii inaonyesha wazi ya kuwa MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA,kwa hal hii mpaka mwaka 2015 nina uhakika asilimia sabini ya wapiga kura wa nchi hii watakuwa wameshatukanwa sana na wewe nape,na hapo starajii aliyetukanwa kumpa kura aliyemtukana,kwa...
Back
Top Bottom