Search results

  1. KIJOME

    Maajabu ya polisi vs ccm mtaa wa Kimanga Tabata

    Leo tarehe 25.01.2015 mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Kimanga aliyechaguliwa na wananchi kwa kura nyingi pamoja na wajumbe wake ameitisha mkutano wa wananchi eneo la shule ya wazazi lakini cha ajabu katibu wa ccm wilaya ya Ilala kapiga simu kwa OCD kuwa kuna fujo sana hivyo polisi wamekuja...
  2. KIJOME

    Makongoro akosa watu wa kutosha kwenye mkutano Tabata Kimanga

    Katika kile kinachosemwa kilichokatiliwa duniani hata mbinguni hakina nafasi,imedhihirika wazi kabisa jana jumamosi kwenye mkutano wa ma-ccm kata ya Kimanga baada ya mbunge aliyeiba kura bwana makongoro mahanga kuhutubia wajumbe wa masisiem ambao walilipwa kila mmoja shs 5000 mpk 10000 pamoja na...
  3. KIJOME

    Hatimaye mnara wa kumbukumbu ya Mwangosi wajengwa

    Hatimaye ule mnara kwa ajili ya kumkumbuka mwandishi wa habari Daudi Mwangosi aliyeuwawa kwa bomu la polisi mbele ya Rpc Kamhanda wajengwa kijijini Nyololo... Aluta continue!!
  4. KIJOME

    Ama hakika CHADEMA ni NGUVU YA UMMA

  5. KIJOME

    Kitu cha Ubungo moja...

  6. KIJOME

    Mbiu imelia,CHADEMA kuwasha moto tarehe 21.07.2013 Dar

    Taarifa kwa raia wote...kesho mambo yote Mabibo Uwanja wa Sahara. Dk Slaa,Mnyika,Mabere Marando naTundu Lissu watawasha Moto. Amka tuikomboe Dare es laam. Sambaza kwa wengineo taarifa hii.
  7. KIJOME

    Picha: Mtangazaji wa TBC1 uso kwa uso na KUB

    Baada ya uwasilishaji wa bajeti ya sirikali jioni hii mtangaji wa TBC alikuwa akiwahoji wabunge mbalimbali kuhusu maoni yao juu ya bajeti hii. Katika pita pita yake kakutana uso kwa uso na Kamanda wa anga Mh.Freeman Mbowe na mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mtangazaji: Mheshimiwa unaonaje...
  8. KIJOME

    Msaada:Bettery ya ipone 3Gs

    Salam wakuu, Tafadhali mwenye kujua duka zinakopatikana battery za iphone 3Gs original na ni bei gani anijuze tafadhali...Nipo dar now. Shukrani..
  9. KIJOME

    Nauliza wana JF,hivi ni kwangu tu au.....

    Heshima kwenu wakuu, Naombeni ushauri wenu wana JF mimi ni mlevi wa huu mtandao ninapoukosa kuupitia kila baada ya muda huwa nahisi unyonge,kilichonipata mpaka kuwaomba msaada ni speed ninapoingia JF,huwa kila ninapo sign in page inakuwa slow kiasi kwamba ni mpaka nirudie mara 2 au 3 ndio...
  10. KIJOME

    Tetesi:ni ajali mbaya same

    wakuu nimepata taarifa kuwa kuna ajali mbaya imetokea same kilimanjaro,aliyepo eneo la tukio atujuze kwa kina tafadhali.
  11. KIJOME

    Prof. Issa Shivji

    Heshima kwenu wakuu, jana jumatano nilijiweka tayari luningani kupata darasa adhimu litolewalo na huyu profesa alietukuka na msomi wa hali ya juu sana,ajabu ni kwamba hakutokea,hii ikaniletea swali, _je magamba yameshatuhujumu? Mwenye jibu sahihi atufahamishe tafadhali...
  12. KIJOME

    Greetings

    Heshima mbele wakuu a.k.a Great Thinkers,nafurahi sana kuwa mwana JF kwa kuvutiwa na habari motomoto zinazopatikana humu jamvini,ni mwenzenu na tutakuwa pamoja kunako issues mbalimbali...Asanteni sana!!!
Back
Top Bottom