Search results

  1. KIJOME

    Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

    Nipo na Professa,tena sio dhaifu tu ni laini laini kama urojo...
  2. KIJOME

    Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Mtahangaika sana ila Prof amewanyuka mfupani...
  3. KIJOME

    Ukweli mchungu: Soko la ndani halihitaji ndege hizi

    Hivi ile iliyosafirisha mbuzi iling’olewa viti kwanza nini?
  4. KIJOME

    Mkapa: Kama kila Rais anakuja na mambo yake, hatuwezi yafikia maendeleo

    Wakati wanamteua Na kumsifia hawakumuona?
  5. KIJOME

    Uokoaji ajali ya Mv Nyerere ni kielelezo kingine cha mipango mibovu ya bajeti

    Halafu chakubanga anasifia sirikali yake,shame
  6. KIJOME

    CHADEMA yazidi kubomoka

    Sasa kama huyo mchumia tumbo atakuwa mkurugenzi wa mafunzo Na Benson Kigaila atakuwa Nani Sasa?Hizi story za abunuwasi utazipata fisiem tu maana wapo vichaa wanajifurahisha wakiingozwa Na kichaa mkuu...
  7. KIJOME

    Rais Magufuli aachane na Kauli za 'Kihuni' tafadhali

    Kwa hiyo hata yule wa mambo ya chumbani Ni kichaa eti?
  8. KIJOME

    SAUTI YA LISSU AKIUNGURUMA: Awashukuru Watanzania kwa kumuombea

    Sifa Na utukufu Ni kwako Almighty Jah!!!
  9. KIJOME

    Zari afanya kufuru kwa pesa za Ivan

    Bwahahahahaa!!!Kawa laini laini...
  10. KIJOME

    AJALI: Mabasi ya Mwendo Kasi yagongana eneo la Shekilango na kusababisha foleni kubwa Morogoro road

    Kuna ajali Shekilango kati ya bus za Express moja ilisimama ghafla wa nyuma akampiga!!! Kwa hisani wa shuhuda wa ajali...
  11. KIJOME

    Rubani auchapa usingizi ndani ya ndege

    Hii habari sio ya kitaalamu imeletwa kiudaku bila kuwekwa nyama za kutosha!
  12. KIJOME

    Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Hivi niache kuangalia ma-series Kama Game of Throne nije kuangalia bongo muvi jambazi anavua viatu mlangoni,hahahaha!!wajipange...
  13. KIJOME

    Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

    Sizonje alifikiri kuongoza timu ni kama kupiga tumba masikini...
  14. KIJOME

    Uzinduzi wa Ndege za ATCL: Kutoka Uwanja wa JNIA eneo la Tanzania Government Flight Agency

    Nimenukuu anaposema wanaoponda kuwa ni bajaji mbona zimefika Dar frm Canada,nimuulize tu,zimetumia muda gani?Hata bajaji inaweza kufika Mwanza ila itahitaji wiki kutoboa!!Hahahaa kajipange mzee...
  15. KIJOME

    Msafara wa Magari ya Jeshi la Kenya ukielekea Bukoba kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko

    Uhuru amepata uchungu kuliko mwenyenyumba,kawaambia Bukoba waache uvivu wafanye kazi janga halijaletwa na fisiem,dah!!
  16. KIJOME

    Dr. Shein Alia Mgawanyiko uliopo Zanzibar

    Akamtafute yule jamaa mkali akamlszimishe maalim kwenda kuswali nae baraza la Eid...
  17. KIJOME

    KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

    Halafu mtu wa dizaini kila kukicha anahitaji kuombewa!!griiiiiiiih!!
Back
Top Bottom